Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

Kwa nini hizo kazi ngumu wasiwape nyie waafrika ?

Hivi kati ya wachina na waafrika ni watu gani wajinga ?

China maslahi madogo miundombinu ipo. Wanapewa wao kazi. West washapita huko. Kiwanja maslahi makubwa na miundombinu ipo. Nimekwambia janitor kiwanja analipwa na ana haki zaidi ya CEO China. Unaposikia dunia ya kwanza elewa dunia ya kwanza ni West in terms of maslahi, maendeleo na human living standards.

China maslahi yakipanda they will delegate hizo kazi kwa to other upcoming countries.
 
Wachina hata Afrika wapo unataka kusema nini ?

Sababu maslahi ya China na Africa hayapishani sana. Standard of living na human/workers rights is just a suggestion kwenye hizi nchi zote tofauti na nchi za West. Ndo maana unasikia mchina kaja Africa anaanza kutandika waafrica viboko.
 
Unajua Kuna ile mna Kila aina ya wataalamu tena waliobobea Hadi wanamwagika?, ndipo china ilipo Sasa hivi duniani, huwezi kuzuia jamii iliyoamua kwenda Kwa pamoja na Kwa uthabiti wanaoujua wao. Wao wanajua walipotoka hivyo ni rahisi kufahamu unapokwenda Kwa Nia ile ile angalia dunia nzima Sasa utawakuta jamaa wapo wanafanya kazi au biashara Fulani (haramu na halali). Unapokuwa na historia mujarabu basi Inahitaji muongozaji njia tu Ili kurudi kule mababu zenu walipowaweka kifua mbele...laiti kama dunia ingekuwa na amani basi ni sehemu salama sana kuishi Kwa ubunifu mwingi uliopo siku hizi.
 
Umemuelewa Tim Cook alichosema hapa?

No supply chain in the world is more critical to us than China.
We're not in China for low labor costs....In the United States if we have a meeting of tooling engineers and we might not fill a room. In China, we would fill multiple
football fields."
... wafanyakazi wakiwa wengi wanakuwa bei poa vilevile i.e cheap Engineers, cheap Technicians ....!
 
Umemuelewa Tim Cook alichosema hapa?

No supply chain in the world is more critical to us than China.
We're not in China for low labor costs....In the United States if we have a meeting of tooling engineers and we might not fill a room. In China, we would fill multiple
football fields."
Huyu ana ile notion ya cheap labor ndo itakuza tech na uchumi kwan hata wazungu waafrika wangap wako ulaya wawatumie wamfikie China au hujawahi kuwaza hlo dunia ya Leo cheap labor are no longer a solely factor for economic growth due to advanced prod technology and logistics hata ungeosema strong purchasing power for domestic market kama cheap labor na tz tupo tele hatuna kaz mbona we stagnat
 
Supply chain za Marekani, Ulaya na India hazijaifikia China

Manufacturing ecosystem iliyoko China ni ya hali ya juu

Ndio maana bado hata hizo factories zilizopo India, Vietnam, Indonesia hata Marekani na Ulaya bado zinaimport critical components au parts kutoka kwa Chinese suppliers
At least geo political economy umeitendea haki big up tunataka mtu at least add kitu kimoja tujifunze aliekua anasikia heresy asome apite tu ili nae ajifunze aelimishe watu vijiweni
 
Kwa kweli Ila west wanacho Wazidi wachina ni propaganda tu
Propaganda 100% angali CNN fox Newyork times wakiamua kukipaka rangi kitu chao utadhani kimeshushwa kutoka mbinguni uje kwenye uhalisia ndio kituko sasa..tuliaminishwa isreli air defence force is impenetrable iran amepiga target kutokea 2000km na yakalenga shabah zikaanza tena propaganda amna mtu aliyekufa
 
At least geo political economy umeitendea haki big up tunataka mtu at least add kitu kimoja tujifunze aliekua anasikia heresy asome apite tu ili nae ajifunze aelimishe watu vijiweni
Hapa bongo mtu akisema kibaya kuhusu usa ..anasonineka kuliko akifiwa na mtoto wake
 
Hapa bongo mtu akisema kibaya kuhusu usa ..anasonineka kuliko akifiwa na mtoto wake wajua usa ameshaakuwa mdembedo na uchumi na mfumuko wa bei atafika mahali atashindwa kuhande kama zake za kujeshi zilizotapaaka kila pembe ya dunia akikokomaa ataanguka nazo
 
Kiwanja hawana uwezo wa kuzalisha kama China.

Upande wa graduates wa STEM (Science, Technology, Engineering, Maths) China ndiyo inaongoza duniani

Mwezi June China imezalisha engineers 1,700,000 wakati Marekani ni 120,000 tu

Mind the gap
Wanazalisha wengi kwa idadi lakini sio kwa ubora tofauti na hao wanaozalisha wachache kwa idadi lakini wenye ubora wa juu.

Na ndio maana China pamoja na sifa zote hizo mnazowapa lakini ni ukweli ulio dhahiri kwamba ni wazuri sana kwa vitu vya kuigiza kuliko kuvumbua na wananchi wao wengi sana bado ni walalahoi na ndio maana wengine wametapakaa kote ulimwenguni wakifanya umachinga.
 
China hawana uvumbuzi wowote ila ni kunakili tu na kuiba teknolojia kwa wavumbuzi. Angalia ile ndege yao ya J-35 ni photocopy ya F-35 ya Marekani..!!
Unaelewa tofauti ya copy and paste na innovation?

Kuna tofauti kubwa kati ya J-35 na F-35. J-35 ni twin engine na F-35 ni single engine

Zina tofauti kubwa sana kwenye mission sets, power production, avionics n.k
 
Kiwanja hawana uwezo wa kuzalisha kama China.

Upande wa graduates wa STEM (Science, Technology, Engineering, Maths) China ndiyo inaongoza duniani

Mwezi June China imezalisha engineers 1,700,000 wakati Marekani ni 120,000 tu

Mind the gap
Kumbuka pia china inawatu bilion moja na million mia nne na marekan wapo milion mia tatu
 
Back
Top Bottom