inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mo siyo tajiri, anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukaniAlikutapeli nini? Kama utapeli ni njia mojawapo ya kufikia mafanikio aliyonayo Mo bora nawe uwe tapeli ili utajirike.
Huwa mnapenda kuhangaika na watu waliombele maili nyingi sijui kwanini.
Tutafuteni maisha tuache kujifariji.
Kuna kila dalili Yanga akaendelea kulitawala soka la bongo [emoji2]Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Mkuu Mo sio tajiri anasimamia Mali za ukoo kwanini na wewe usisimamie za ukoo wenu uwe billionaire?Mo siyo tajiri,anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukani
Kama anasimamia mali za ukoo wao basi MO ana akili nyingi! Ila kama anasimamia mali za ukoo wenu basi kwenye kichwa chako utakuwa umejaa funza na utok0Mo siyo tajiri,anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukani
Wanawake ndivyo walivyo, huoni huyu wa kwetu alichotufanyia au hujamjua ninayemwongelea
Mo siyo bilionea,Mali siyo zake, uelewa wako ukoje!?..Mimi sikusema Mimi tajirimkuu mo sio tajiri anasimamia Mali za ukoo kwanini na wewe usisimamie za ukoo wenu uwe billionaire?
Hizi mbona ni pumba tu!!Kama anasimamia mali za ukoo wao basi MO ana akili nyingi! Ila kama anasimamia mali za ukoo wenu basi kwenye kichwa chako utakuwa umejaa funza na utok0
kumbe adui yake MO injinia!!!ndo naskia kwakoMo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Huyu muuza Bandari[emoji23][emoji23] hii code inahitaji akili kukuelewa [emoji122][emoji122][emoji122]
U"king" kakupa nani we pro-popoma 😅Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Aliyekwambia Mo na Hersi maadui ni nani?Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Uko sahihi....[emoji1787]Ukweli uko wazi Babra kutoka Simba kwa position ya CEO aliyokuwa nayo na labda akahamia Yanga hata akawa mshabiki tu kuna athari kubwa kwa Simba, huyu mdada anajua Siri zote za Simba na akiamua kuihujumu timu akavujisha Siri kwa Yanga atafanikiwa pakubwa! Mf akimtaja mganga wa Simba alieko Pemba au marefa wanaopewa bahasha na Simba au wachezaji wenye njaa!
Simba wote kasoro Rage tu ni mbumbumbu huwa hawaoni janga mpaka msimu ukiisha hawana hata kombe la kuku ndo wanashtuka!
Karibu BarbaraMo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Kula like...Mkuu uyo babra ahamie yanga Kama nani? Ahamie kama shabiki, mwanachama,kiongozi au kama nani pale yanga? Babra sio mwajiriwa tena wa simba, anayo maisha yake uko aliko kwaiyo sioni kama kumfolo Eng. na kutomfolo Mo kama kuna impact yoyote ile kwa simba na Mo mwenyewe, iyo vita ni mambo yao binafsi wanajuana wao wamedhulumiana nini wayajenge wayamalize uko na sidhani kama babra ana impact yoyote kwa sasa kwenye mpira wa bongo apambane na hali yake
hata mie sijajua ni ni niniMo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
🤣🤣kwa jinsi Mo alivyokuwa na mihemko atatoka na kurusha kijembe mtandaoni... 😄😄
Tajiri mswahili yule ,kuna muda anaweza kupost kitu hadi unahisi labda si akaunti yake ni parody[emoji23]kwa jinsi Mo alivyokuwa na mihemko atatoka na kurusha kijembe mtandaoni... [emoji1][emoji1]