inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mo siyo tajiri, anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukaniAlikutapeli nini? Kama utapeli ni njia mojawapo ya kufikia mafanikio aliyonayo Mo bora nawe uwe tapeli ili utajirike.
Huwa mnapenda kuhangaika na watu waliombele maili nyingi sijui kwanini.
Tutafuteni maisha tuache kujifariji.