Kitendo cha aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara kum 'Unfollow' Tajiri Mo Dewji na Kumfollow Rais wa Yanga Injinia Hersi sasa Moto utawaka

Alikutapeli nini? Kama utapeli ni njia mojawapo ya kufikia mafanikio aliyonayo Mo bora nawe uwe tapeli ili utajirike.

Huwa mnapenda kuhangaika na watu waliombele maili nyingi sijui kwanini.

Tutafuteni maisha tuache kujifariji.
Mo siyo tajiri, anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukani
 
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Kuna kila dalili Yanga akaendelea kulitawala soka la bongo [emoji2]
Popoma on his prime
 
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
kumbe adui yake MO injinia!!!ndo naskia kwako
 
Aliyekwambia Mo na Hersi maadui ni nani?

Unakwama sometimes
 
Alooooooooo.
madunduka yameanza kukanyagana.
 
Ukweli uko wazi Babra kutoka Simba kwa position ya CEO aliyokuwa nayo na labda akahamia Yanga hata akawa mshabiki tu kuna athari kubwa kwa Simba, huyu mdada anajua Siri zote za Simba na akiamua kuihujumu timu akavujisha Siri kwa Yanga atafanikiwa pakubwa! Mf akimtaja mganga wa Simba alieko Pemba au marefa wanaopewa bahasha na Simba au wachezaji wenye njaa!

Simba wote kasoro Rage tu ni mbumbumbu huwa hawaoni janga mpaka msimu ukiisha hawana hata kombe la kuku ndo wanashtuka!

Yanga ni kidume kwa sasa kwa soka la bongo, daima mbele , mpira unapigwa dimbani na fitna za nje ya uwanja grade one! Ukibahatika kuongea na Eng Hersi ofisini kwake kama Mimi nilivyoongea nae one day utajionea jinsi alivyo genius! Huyu Hersi hakuna Rais wa Klabu hapa bongo atamfikia kwa akili ya kuendesha klabu ya mpira, ni mzungu mweusi! Hana chawa wa kumharibia plans zake. Hazunguki, hataki Siasa, ni logic tu ukiongea nae! Ataifikisha Yanga mbali sana!
 
Ukweli uko wazi Babra kutoka Simba kwa position ya CEO aliyokuwa nayo na labda akahamia Yanga hata akawa mshabiki tu kuna athari kubwa kwa Simba, huyu mdada anajua Siri zote za Simba na akiamua kuihujumu timu akavujisha Siri kwa Yanga atafanikiwa pakubwa! Mf akimtaja mganga wa Simba alieko Pemba au marefa wanaopewa bahasha na Simba au wachezaji wenye njaa!

Simba wote kasoro Rage tu ni mbumbumbu huwa hawaoni janga mpaka msimu ukiisha hawana hata kombe la kuku ndo wanashtuka!
Uko sahihi....[emoji1787]
 
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Karibu Barbara
 
Mkuu uyo babra ahamie yanga Kama nani? Ahamie kama shabiki, mwanachama,kiongozi au kama nani pale yanga? Babra sio mwajiriwa tena wa simba, anayo maisha yake uko aliko kwaiyo sioni kama kumfolo Eng. na kutomfolo Mo kama kuna impact yoyote ile kwa simba na Mo mwenyewe, iyo vita ni mambo yao binafsi wanajuana wao wamedhulumiana nini wayajenge wayamalize uko na sidhani kama babra ana impact yoyote kwa sasa kwenye mpira wa bongo apambane na hali yake
Kula like...
 
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
hata mie sijajua ni ni nini

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
kwa jinsi Mo alivyokuwa na mihemko atatoka na kurusha kijembe mtandaoni... [emoji1][emoji1]
Tajiri mswahili yule ,kuna muda anaweza kupost kitu hadi unahisi labda si akaunti yake ni parody[emoji23]
 
Halafu wewe Genta kuna muda naanza kukuelewa kuna vitu uliandika huko nyuma vinaanza kutumia.
 
Back
Top Bottom