Kitendo cha aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara kum 'Unfollow' Tajiri Mo Dewji na Kumfollow Rais wa Yanga Injinia Hersi sasa Moto utawaka

Aliyekuwa Hawara yake Mkuu Mwekezaji wako hadi kutaka Kuharibu Ndoa yake na Familia ya Tajiri ( Kwao Masaki kwa Mzee Ghullum ) Mwekezaji wako Klabuni haitaki Kumsikia aliyekuwa CEO wako na hadi leo Mke wa Tajiri ana Bifu nae Kali sana.

Nikuongezse nyingine au niishie hapa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Sasa naanza kuelewa,😂
 
Ukweli uko wazi Babra kutoka Simba kwa position ya CEO aliyokuwa nayo na labda akahamia Yanga hata akawa mshabiki tu kuna athari kubwa kwa Simba, huyu mdada anajua Siri zote za Simba na akiamua kuihujumu timu akavujisha Siri kwa Yanga atafanikiwa pakubwa! Mf akimtaja mganga wa Simba alieko Pemba au marefa wanaopewa bahasha na Simba au wachezaji wenye njaa!

Simba wote kasoro Rage tu ni mbumbumbu huwa hawaoni janga mpaka msimu ukiisha hawana hata kombe la kuku ndo wanashtuka!

Yanga ni kidume kwa sasa kwa soka la bongo, daima mbele , mpira unapigwa dimbani na fitna za nje ya uwanja grade one! Ukibahatika kuongea na Eng Hersi ofisini kwake kama Mimi nilivyoongea nae one day utajionea jinsi alivyo genius! Huyu Hersi hakuna Rais wa Klabu hapa bongo atamfikia kwa akili ya kuendesha klabu ya mpira, ni mzungu mweusi! Hana chawa wa kumharibia plans zake. Hazunguki, hataki Siasa, ni logic tu ukiongea nae! Ataifikisha Yanga mbali sana!
Huyu ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja
 
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Ninachoamini hujawahi kuwa Mnafiki.
 
Mwaka jana hapa hapa JamiiForums kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE nilianzisha Uzi ( tena kwa Kujiamini kabisa ) nilisema CEO wa zamani wa Simba SC Barbara Gonzalez ana Mahusiano ya Kibaiolojia na Rais wa Yanga SC Injina Hersi Said na kwamba huwa wanakutana Nje ya Tanzania ( hasa Ulaya ) na kwamba Yanga SC wanajua Siri nyingi za Simba kwakuwa kwa Mahaba Barbara alikuwa akiyamwaga yote kwa Rais wa Yanga SC.

Narudia huo Uzi wangu uko hapa JamiiForums na kwa wale Visokolokwinyo ( Wapuuzi ) walionishangaa, walionibishis na Kunitukana mno wautafute kisha bila Aibu waje hapa Kuniomba Radhi.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Cc: Arovera, PakiJinja
Sope anajisikiaje kuingiliwa himaya take na hasimu wake?
 
Ukweli uko wazi Babra kutoka Simba kwa position ya CEO aliyokuwa nayo na labda akahamia Yanga hata akawa mshabiki tu kuna athari kubwa kwa Simba, huyu mdada anajua Siri zote za Simba na akiamua kuihujumu timu akavujisha Siri kwa Yanga atafanikiwa pakubwa! Mf akimtaja mganga wa Simba alieko Pemba au marefa wanaopewa bahasha na Simba au wachezaji wenye njaa!

Simba wote kasoro Rage tu ni mbumbumbu huwa hawaoni janga mpaka msimu ukiisha hawana hata kombe la kuku ndo wanashtuka!

Yanga ni kidume kwa sasa kwa soka la bongo, daima mbele , mpira unapigwa dimbani na fitna za nje ya uwanja grade one! Ukibahatika kuongea na Eng Hersi ofisini kwake kama Mimi nilivyoongea nae one day utajionea jinsi alivyo genius! Huyu Hersi hakuna Rais wa Klabu hapa bongo atamfikia kwa akili ya kuendesha klabu ya mpira, ni mzungu mweusi! Hana chawa wa kumharibia plans zake. Hazunguki, hataki Siasa, ni logic tu ukiongea nae! Ataifikisha Yanga mbali sana!
Kuna sheria za biashara duniani zinazolinda the so called trade secret!

Hata akihujumu, basi ni kwa nidhamu chinichini usifikiri ataitisha press aanze kusema simba walikuwa wanahonga marefa Mara vile, iko kitu hakiwezekani maana hapo atakuwa ana attack taasisi! Kitu ambacho bilashaka ni kosa
 
Wanawake ndo walivyo, mfano mzuri Haji Manara.
Akiacha kupenda kwenda nao Wake zake Makao Makuu zao zilizotukuka za Makumbusho tabia aliyoianzia Kwao Buguruni Malapa na Ilala Bungoni Mtaa wa Kwao Ibrahim Ajib Migomba huku Dada zake wakitumika Kumtafutia Wanawake wanaopenda huko kisha anawapa Pesa ya maana hawatokuwa Wanamkimbia tena.
 
Mkuu uyo Babra ahamie yanga Kama nani? Ahamie kama shabiki, mwanachama,kiongozi au kama nani pale yanga?

Babra sio mwajiriwa tena wa simba, anayo maisha yake uko aliko kwaiyo sioni kama kumfolo Eng. na kutomfolo Mo kama kuna impact yoyote ile kwa simba na Mo mwenyewe.

Hiyo vita ni mambo yao binafsi wanajuana wao wamedhulumiana nini wayajenge wayamalize uko na sidhani kama babra ana impact yoyote kwa sasa kwenye mpira wa bongo apambane na hali yake
Weka hisia mbali na mambo ya kibiashara '' kasema sauti ya Mombe''
 
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Mwache kabisa Barbara. Wewe ni kinara wa kumbagaza hapa jukwaani. Na ulimpinga vita haswa! Sijui unalalamika nini. Inaonekana hujui utakalo wewe.
 
Ukweli uko wazi Babra kutoka Simba kwa position ya CEO aliyokuwa nayo na labda akahamia Yanga hata akawa mshabiki tu kuna athari kubwa kwa Simba, huyu mdada anajua Siri zote za Simba na akiamua kuihujumu timu akavujisha Siri kwa Yanga atafanikiwa pakubwa! Mf akimtaja mganga wa Simba alieko Pemba au marefa wanaopewa bahasha na Simba au wachezaji wenye njaa!

Simba wote kasoro Rage tu ni mbumbumbu huwa hawaoni janga mpaka msimu ukiisha hawana hata kombe la kuku ndo wanashtuka!

Yanga ni kidume kwa sasa kwa soka la bongo, daima mbele , mpira unapigwa dimbani na fitna za nje ya uwanja grade one! Ukibahatika kuongea na Eng Hersi ofisini kwake kama Mimi nilivyoongea nae one day utajionea jinsi alivyo genius! Huyu Hersi hakuna Rais wa Klabu hapa bongo atamfikia kwa akili ya kuendesha klabu ya mpira, ni mzungu mweusi! Hana chawa wa kumharibia plans zake. Hazunguki, hataki Siasa, ni logic tu ukiongea nae! Ataifikisha Yanga mbali sana!
Hersi ni genius na ni muumini mkubwa wa muda ndio utaongea ndio maana unaona hata waandishi wa kutegemea bahasha ndio waandike mazuri ya Yanga wote ni maadui wake maana hana ujinga wa kuhonga waandishi,yeye ni mtu wa mipango endelevu na kufanya kile anachoamini
 
Mmeshazoea kula matapishi

Uongozi wa Simba Sc umemtangaza mtendaji mkuu mpya wa klabu yao(CEO), Barbara Gonzalez ambaye atakuwa mrithi katika kiti cha Senzo Mbatha ambaye alijiuzulu na kuibukia Yanga Sc.
 
Mo siyo tajiri, anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom