Mwaka jana hapa hapa JamiiForums kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE nilianzisha Uzi ( tena kwa Kujiamini kabisa ) nilisema CEO wa zamani wa Simba SC Barbara Gonzalez ana Mahusiano ya Kibaiolojia na Rais wa Yanga SC Injina Hersi Said na kwamba huwa wanakutana Nje ya Tanzania ( hasa Ulaya ) na kwamba Yanga SC wanajua Siri nyingi za Simba kwakuwa kwa Mahaba Barbara alikuwa akiyamwaga yote kwa Rais wa Yanga SC.
Narudia huo Uzi wangu uko hapa JamiiForums na kwa wale Visokolokwinyo ( Wapuuzi ) walionishangaa, walionibishis na Kunitukana mno wautafute kisha bila Aibu waje hapa Kuniomba Radhi.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Cc:
Arovera,
PakiJinja