Kitendo Cha Hezbollah kushambulia kuku wa Israel kwa Roketi za mamilion sio poa

Kitendo Cha Hezbollah kushambulia kuku wa Israel kwa Roketi za mamilion sio poa

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku

Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku.

Hadi second commander KUTOKA kwa first commender anayeongeaga kwa tahadhari akiwa zake shimoni Kama kuku aliona mwewe 😀😀😀

Screenshot_20240826-202554_1.jpg
 
Sawa wameuwa kuku sa jiulize vitu vilipita au havikupita mpaa kwenye banda la kuku 😄

Tumeisha zowea mkipigwa lazima mje na nyimbo, mara zimeland kwenye empty spaces sa zimeland kwenye banda la kuku.

Sawa wacha nikaote kwenye mti uliopo pale njia panda, kati ya Jerusalem na Damascus, ili nije na 3=1 na 340=Kuku 😅

View: https://youtu.be/mpgbbySmd6Y?si=uYRKCAVB-EXXRkst
 
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku

Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku.

Hadi second commander KUTOKA kwa first commender anayeongeaga kwa tahadhari akiwa zake shimoni Kama kuku aliona mwewe 😀😀😀

View attachment 3079965
Hizi propaganda za kuchukua video za mchongo haziwapeleki popote.
Kambi 11 za Israel ikiwemo ya Galilee zimeshambuliwa kikamilifu.
Na makamanda huko wameitisha wito wa dharura.
Kama ingekua waliolipuliwa ni kuku tu Israel ingeitisha hali ya hatari!??
 
Back
Top Bottom