DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Kinachonisumbua ni chuki dhidi ya ugaidi.
Kwa kukaririshwa, ila ipo siku utaelewa ni nani gaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachonisumbua ni chuki dhidi ya ugaidi.
Huyo anaelewa,sio kama haelewi anaelewa sana ila anafanya makusudi.Kwa kukaririshwa, ila ipo siku utaelewa ni nani gaidi
Huyo anaelewa,sio kama haelewi anaelewa sana ila anafanya makusudi.
Hadi ushahidi na uthibitisho ameoneshwa ila anapenda ubishani wa kijinga.
We unaangalia tukiona Moja badala ya kuangalia series ya matukio Israel imeua wapalestina wangapi.Kuwa gaidi lenye mlengo wa kidini SHARTI kwanza uwe hamnazo kichwani. Jiulize Hezbollah anapigana na Israel kisa Hamas, sasa wote tujiulize ni Kweli Hamas alipovamia Israel tarehe 7/10/2023 alikuwa hataki vita? Je yanayoendelea huko Gaza Hamas hakuyatarajia( haku foresee consequences)? Yaaaani urushe rockets zaidi ya elfu 5 kwa jirani,uvuke mpaka ukawachinje raia kama kuku, watoto kwa wanawake tena wengine wakiwa kwenye matamasha ya mziki!!! Imagine kunakucha watu wanakuta maiti zaidi ya 1200 zimetapakaa halafu eti Hezbollah anaingilia kati mgogoro eti mpaka Israel iache kushambulia Gaza...HIZI NI AKILI AU MATOPE
Nilijua huyu atakua wewe umeropoka hivi.Kuwa gaidi lenye mlengo wa kidini SHARTI kwanza uwe hamnazo kichwani. Jiulize Hezbollah anapigana na Israel kisa Hamas, sasa wote tujiulize ni Kweli Hamas alipovamia Israel tarehe 7/10/2023 alikuwa hataki vita? Je yanayoendelea huko Gaza Hamas hakuyatarajia( haku foresee consequences)? Yaaaani urushe rockets zaidi ya elfu 5 kwa jirani,uvuke mpaka ukawachinje raia kama kuku, watoto kwa wanawake tena wengine wakiwa kwenye matamasha ya mziki!!! Imagine kunakucha watu wanakuta maiti zaidi ya 1200 zimetapakaa halafu eti Hezbollah anaingilia kati mgogoro eti mpaka Israel iache kushambulia Gaza...HIZI NI AKILI AU MATOPE
Aisee☹️Endelea kuongelea kuku. Wenzako hii Leo hawajalala kumewaka moto huko
Kwamba nibadilike ni support magaidi yalioua Watanzania wenzetu wawili vijana wadogo wasiokua na hatia.?!Mzee Kigogo badilika
Kwamba nibadilike ni support magaidi yalioua Watanzania wenzetu wawili vijana wadogo wasiokua na hatia.?!
Hamas ndio waliua Watanzania wenzetu wasiokua na hatia Oct 7 na pia kutumia akina mama na watoto wa kipalestina kama ngao kwenye uwanja wa mapambano.Kwahiyo umeona ya watanzania tu, ila ya wamama na watoto wa kipalestina hujaona wala kuumia sio!
Na una uhakika gani wameuawa na hamas!