Kitendo Cha Hezbollah kushambulia kuku wa Israel kwa Roketi za mamilion sio poa

Kitendo Cha Hezbollah kushambulia kuku wa Israel kwa Roketi za mamilion sio poa

Sawa wameuwa kuku sa jiulize vitu vilipita au havikupita mpaa kwenye banda la kuku 😄

Tumeisha zowea mkipigwa lazima mje na nyimbo, mara zimeland kwenye empty spaces sa zimeland kwenye banda la kuku.

Sawa wacha nikaote kwenye mti uliopo pale njia panda, kati ya Jerusalem na Damascus, ili nije na 3=1 na 340=Kuku 😅



View: https://youtu.be/mpgbbySmd6Y?si=uYRKCAVB-EXXRkst

Vikiachwa vipite ujue ndio vitaishia kuua kuku, na hata hao kuku mtaealipa kwa gharama kubwa zaidi na hizo verse zako za kujifurahisha hapo.

Ungemuonesha huyo aliye convert na zile verse za majini aone mlivyounganishwa nayo kiimani, ajue mapema ana ndugu zake wengine katika imani sio wewe pekee.
 
Ww Sema yanapiga kuku wakti wenzako wamejazana uwanja ndege wanakimbia nchiView attachment 3079986
Screenshot_20240827_053947_Edge.jpg
 
Wamechukua hadi drone footage ya nyumbani kwa Netanyahu sema tu hakuwepo. Hesbullah wasipodhibitiw mapema hapoisrael hapatakalik.
 
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku

Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku.

Hadi second commander KUTOKA kwa first commender anayeongeaga kwa tahadhari akiwa zake shimoni Kama kuku aliona mwewe 😀😀😀

View attachment 3079965
Kuwa gaidi lenye mlengo wa kidini SHARTI kwanza uwe hamnazo kichwani. Jiulize Hezbollah anapigana na Israel kisa Hamas, sasa wote tujiulize ni Kweli Hamas alipovamia Israel tarehe 7/10/2023 alikuwa hataki vita? Je yanayoendelea huko Gaza Hamas hakuyatarajia( haku foresee consequences)? Yaaaani urushe rockets zaidi ya elfu 5 kwa jirani,uvuke mpaka ukawachinje raia kama kuku, watoto kwa wanawake tena wengine wakiwa kwenye matamasha ya mziki!!! Imagine kunakucha watu wanakuta maiti zaidi ya 1200 zimetapakaa halafu eti Hezbollah anaingilia kati mgogoro eti mpaka Israel iache kushambulia Gaza...HIZI NI AKILI AU MATOPE
 
FaizaFoxy hili limejaaje wavaa makobazi wenzio wataiita ushindi
Yaani kilichotokea ni Vifaranga kupatishwa Stress tu na kupata Mshtuko wa Moyo

Kuku wakubwa hasa Majogoo wamebaki kucheka tu na kutingisha vichwa

Wakati Israel inanyofoa vichwa vya Viongozi wakuu wa Hizbollah na kuangamiza kabisa maeneo yao

Hawa Makobazi hamnaga akili kabisa 🤣🤣🤣🤣
 
Yaani kilichotokea ni Vifaranga kupatishwa Stress tu na kupata Mshtuko wa Moyo

Kuku wakubwa hasa Majogoo wamebaki kucheka tu na kutingisha vichwa

Wakati Israel inanyofoa vichwa vya Viongozi wakuu wa Hizbollah na kuangamiza kabisa maeneo yao

Hawa Makobazi hamnaga akili kabisa 🤣🤣🤣🤣
Kikundi cha kigaidi chenye mlengo wa kidini hakuna hata kimoja chenye akili. Kuanzia Boko Haram, alqaida, alshabab, Houthi, Hezbollah, Islamic jihad and the like. Yaaaani mfano wale waliovamia Israel na kuuwa watu 1200 kwa masaa tu, wanaamini wataenda peponi kwa Allah kufanya ngono
 

Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku

Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku.

Hadi second commander KUTOKA kwa first commender anayeongeaga kwa tahadhari akiwa zake shimoni Kama kuku aliona mwewe 😀😀😀

View attachment 3079965
Hezbollah drome ya ghali waitowe wapi?

Unalalamima kuuliwa kuku wanapouliwa watoto wa Kipalestina hulalamiki.

Makubwa haya.
 
Hezbollah hapo wamewaumiza sana mazayuni mpaka wamelalamikia na kulilia kuku? Ujuwe kulikua na intelijensia imewafikia Hezbollah, hao kuku lazima wameficha kitu.
 
Hizi propaganda za kuchukua video za mchongo haziwapeleki popote.
Kambi 11 za Israel ikiwemo ya Galilee zimeshambuliwa kikamilifu.
Na makamanda huko wameitisha wito wa dharura.
Kama ingekua waliolipuliwa ni kuku tu Israel ingeitisha hali ya hatari!??
Weka ushahidi. Maneno Mengi ya nini?!
 
IDF kwenye hii vita wameonyesha uwezo mkubwa sana sio kwamba hawawezi kuigeuza Southern Lebanon kuwa vifusi kama Gaza Bali wanachofanya wanachagua target za Hizbullah hasa viongozi wao na hata wale wanamgambo wa kawaida wanauwawa na IDF pale tu wanapotoka kurusha makombora Israel hii ni nidhamu ya Hali ya juu sana
 
Bahati mbaya sana mmejaa kwenye mtego wa zayuni mpaka sasa kazuia taarifa zote kutoka kambi zilizochakazwa anaonyesha sehem dhaifu tu hakuna aliyeruhusiwa kupiga picha na gaidi netanyau
Hiyo ni mojawapo ya war strategies. Hata Israel walipotungua Helicopter ya Rais wa Iran hawakusema hadharani ili iwe rahisi kuwashughulikia wengine!
 
Back
Top Bottom