Kitendo Cha Hezbollah kushambulia kuku wa Israel kwa Roketi za mamilion sio poa

Kitendo Cha Hezbollah kushambulia kuku wa Israel kwa Roketi za mamilion sio poa

Israel inaelewa hezbollah mara mwisho ilimfanya nini xo hizi story tu apa
 
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku

Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku.

Hadi second commander KUTOKA kwa first commender anayeongeaga kwa tahadhari akiwa zake shimoni Kama kuku aliona mwewe 😀😀😀

View attachment 3079965
Ukisoma maandiko kutoka itikaf alkatun, yanasema ikitokea shaheed akakosea shabaha badala ya kuua kafir akaua viumbe wengine wa mola kama vile kuku au kondoo wa makafir halafu na yeye akauawa, basi shaheed huyo hatapewa mabikira 72, huyo atapewa wakane wawili na makahaba watatu نظرة عشاق الرطوبة
 
Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku

Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku.

Hadi second commander KUTOKA kwa first commender anayeongeaga kwa tahadhari akiwa zake shimoni Kama kuku aliona mwewe 😀😀😀

View attachment 3079965
duh vita vya waarabu vibaya mno hawachagui pa kupiga
 
Mwendazake hakuwa mentally stable na hata hivyo hakuwapig vifaranga kwa kombora ila moto
 
Yaani kilichotokea ni Vifaranga kupatishwa Stress tu na kupata Mshtuko wa Moyo

Kuku wakubwa hasa Majogoo wamebaki kucheka tu na kutingisha vichwa

Wakati Israel inanyofoa vichwa vya Viongozi wakuu wa Hizbollah na kuangamiza kabisa maeneo yao

Hawa Makobazi hamnaga akili kabisa 🤣🤣🤣🤣
Hahahhaha
 
Hizbullah waliweza kuipasua mpaka hii radar ya masafa marefu
1724528396008.jpg
1724528393479.jpg
 
Back
Top Bottom