loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Wanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu.
Kitendo hicho kimewaumiza na kuwakasirisha waislamu wengi. Ambao wanasisitiza kaaba ni moja tu iliyopo Makjah Saudi Arabia.
Tawi hilo la shia Zayd wa houthi kiliasisiwa na Zayd ibn Ali mjukuu wa Husayn ibn Ali na wanapatikana tu Yemen.
wakati huohuo wanamghambo hao machachari walipowashinda majeshi ya Saudi Arabia ambao ni wa Sunni walikasirika sana kukuta pombe kali kwenye makambi yao ambazo walikuwa wanakunywa.
Wakatupiako kavideo wakilaani wanajeshi kunywa pombe wakati wakihubirigi ni haram.
Akhi adriz de mbusii Mufti kuku The Infinity