ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,277
- 12,506
Ila anaebwia mirungi anamjaji cha pombeWote.dhambi haiangalii mtu
Ila anaebwia mirungi anamjaji cha pombeWote.dhambi haiangalii mtu
Wote Wana dhambi.kuwa msaudia sio tiketi ya kuwa wewe ni mwemaIla anaebwia mirungi anamjaji cha pombe
Netanyahu anaomba tender 😅😅😅Sema hawa jamaa wana amsha amsha sio poa. Kupigana na mtu asiyeogopa kufa ni kazi ngumu. Hawa Houth ni kama walishaachana na mambo ya kifo. Kimsingi hii dunia unaweza kuwa na mahela kibao ila dhaifu kijeshi. Saudi Arabia na UAE ni mfano hai.
Kuliko yule aliyegeuza maji kuwa pombe?Kama maswahaba wenyewe walioandika kitab ni walevi unategemea nini,ndio maana wakasema mito ya pombe
KihistoriaHaya yote mtume s.a.w aliyatabiri hakuna jipya hapo, nacho shukuru nimezaliwa nikiujia ukweli kua Kaaba ni Moja tu ipo saudia na ile sio jengo tu kua unaeza Jenga au siosanamu hapana pale papo kihistoria kabisa
Ndio lile dubwasha lililitoka mbinguni?Haya yote mtume s.a.w aliyatabiri hakuna jipya hapo, nacho shukuru nimezaliwa nikiujia ukweli kua Kaaba ni Moja tu ipo saudia na ile sio jengo tu kua unaeza Jenga au siosanamu hapana pale papo kihistoria kabisa
Mbona wewe Kuna wakenya wanakuzidi kukifahamu kiswahili? Ina mana hiyo ni indicates kuwa kiswahili ni cha wakenya?Kihistoria
Kaaba haijawahi kuwa Moja
Zilikuwepo nyingi tu.
Ila kipindi Cha Islamic conquest
Ndio walizivunja nyingine zote
Na kudeclare ile iliyopo Macca ndio iwe pekee.
Kwanza wewe utajua dini na Uislamu kuliko waarabu?
Na asili ya waarabu ni Yemen
Sijui mkuu nacho fahamu alizaliwa kama wewe ulivo zaliwaNdio lile dubwasha lililitoka mbinguni?
Hapa sijui umeandika nini?Mbona wewe Kuna wakenya wanakuzidi kukifahamu kiswahili? Ina mana hiyo ni indicates kuwa kiswahili ni cha wakenya?
Ahaa mkuu sorry nimeingia cha kike hahaaaaaa🤣🫵🫵🫵 nimekustukia we ni kanasiasa mabishano ndio jadi Yako haaa🤣Hapa sijui umeandika nini?
Kwamba hilo ndio jibu la hoja iliyopo mezani?
Kiswahili ni afrika mashariki
Kuanzia kule sofala hadi pate lamu.
Mimi ni Mbangubangu, unawajua?
Waislam wa kweli wanapatikana nchi gani sasa mkuuWote.dhambi haiangalii mtu
Ngoja wa hauth wapapige bomu ndio utajua hata msikiti wa mtoro unaweza kuhiji bila shida.Haya yote mtume s.a.w aliyatabiri hakuna jipya hapo, nacho shukuru nimezaliwa nikiujia ukweli kua Kaaba ni Moja tu ipo saudia na ile sio jengo tu kua unaeza Jenga au siosanamu hapana pale papo kihistoria kabisa
Kichumba chenye jiwe leusi ambapo shetani ala yumo,kumbuka kapeti lake wahuni walipiga mnada epstein akaenda kuweka zuria geto.Kàaba ndio nini kwa tusio fahamu?
Lakini bila msaudia kuwapiga miti msingekua mnajiita waislam aka waarabu weusi.Wote Wana dhambi.kuwa msaudia sio tiketi ya kuwa wewe ni mwema
Utakuja ujinha sasa kwanini wasishambuliane binadamu kwa binadamuNgoja wa hauth wapapige bomu ndio utajua hata msikiti wa mtoro unaweza kuhiji bila shida.
Wewe umepigwa miti na myahudi?Lakini bila msaudia kuwapiga miti msingekua mnajiita waislam aka waarabu weusi.
Popote yupo muislam wa kweli.Waislam wa kweli wanapatikana nchi gani sasa mkuu
Maana waislam wa Tanzania wao kazi yao kula kitimoto tu