LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Pombe ni Haram,lakini mdomoni wanakula mirungi na madawa ya kulevya

Ya wa Houthi waachie wa Houthi. Jikite kwanza kupambana na kutokomeza uovu na Ukandamizaji unaoendelea nchini Kwako sasa hivi.Wanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu.
Kitendo hicho kimewaumiza na kuwakasirisha waislamu wengi. Ambao wanasisitiza kaaba ni moja tu iliyopo Makjah Saudi Arabia.
Tawi hilo la shia Zayd wa houthi kiliasisiwa na Zayd ibn Ali mjukuu wa Husayn ibn Ali na wanapatikana tu Yemen.
wakati huohuo wanamghambo hao machachari walipowashinda majeshi ya Saudi Arabia ambao ni wa Sunni walikasirika sana kukuta pombe kali kwenye makambi yao ambazo walikuwa wanakunywa.
Wakatupiako kavideo wakilaani wanajeshi kunywa pombe wakati wakihubirigi ni haram.
View attachment 3677259
Akhi adriz de mbusii Mufti kuku The Infinity
huu uislam miaka si mingi utakuja kusambaratika. Aibu itakuwa kwa waafrika weusi tii kusini mwa jangwa la sahara, wataonekana waliingizwa mkenge na waarabu kuamini na kuabudu mila na tamadauni za kigeni huku wakiacha tamaduni zao za asiliKabla ya ha Houth hawajajenga Kaaba ya kwao, Nigeria walishaijenga ya kwao miaka miwili iliyopita, sema ni kwa ajili ya rehearsal tu, ingawa soon wana mpango wawe wanahiji hapohapo
View attachment 3677341
Nyumba ya mwenyezi mungu iliyopo makkaKàaba ndio nini kwa tusio fahamu?
Wasaudia wanapiga Sana vyombo wakiwa nje ya SaudiaWanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu.
Kitendo hicho kimewaumiza na kuwakasirisha waislamu wengi. Ambao wanasisitiza kaaba ni moja tu iliyopo Makjah Saudi Arabia.
Tawi hilo la shia Zayd wa houthi kiliasisiwa na Zayd ibn Ali mjukuu wa Husayn ibn Ali na wanapatikana tu Yemen.
wakati huohuo wanamghambo hao machachari walipowashinda majeshi ya Saudi Arabia ambao ni wa Sunni walikasirika sana kukuta pombe kali kwenye makambi yao ambazo walikuwa wanakunywa.
Wakatupiako kavideo wakilaani wanajeshi kunywa pombe wakati wakihubirigi ni haram.
View attachment 3677259
Akhi adriz de mbusii Mufti kuku The Infinity
Kati ya wasaudi Arabia wanaokunywa pombe na wayemeni wanaokula madawa ya kulevya ni yupi kati ya hao wawili anafanya kufuru?BANGE HIZO
ok.🐒Wanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu.
Kitendo hicho kimewaumiza na kuwakasirisha waislamu wengi. Ambao wanasisitiza kaaba ni moja tu iliyopo Makjah Saudi Arabia.
Tawi hilo la shia Zayd wa houthi kiliasisiwa na Zayd ibn Ali mjukuu wa Husayn ibn Ali na wanapatikana tu Yemen.
wakati huohuo wanamghambo hao machachari walipowashinda majeshi ya Saudi Arabia ambao ni wa Sunni walikasirika sana kukuta pombe kali kwenye makambi yao ambazo walikuwa wanakunywa.
Wakatupiako kavideo wakilaani wanajeshi kunywa pombe wakati wakihubirigi ni haram.
View attachment 3677259
Akhi adriz de mbusii Mufti kuku The Infinity
Allah kahamia makazi mapyaWanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu.
Kitendo hicho kimewaumiza na kuwakasirisha waislamu wengi. Ambao wanasisitiza kaaba ni moja tu iliyopo Makjah Saudi Arabia.
Tawi hilo la shia Zayd wa houthi kiliasisiwa na Zayd ibn Ali mjukuu wa Husayn ibn Ali na wanapatikana tu Yemen.
wakati huohuo wanamghambo hao machachari walipowashinda majeshi ya Saudi Arabia ambao ni wa Sunni walikasirika sana kukuta pombe kali kwenye makambi yao ambazo walikuwa wanakunywa.
Wakatupiako kavideo wakilaani wanajeshi kunywa pombe wakati wakihubirigi ni haram.
View attachment 3677259
Akhi adriz de mbusii Mufti kuku The Infinity
Wote.dhambi haiangalii mtuKati ya wasaudi Arabia wanaokunywa pombe na wayemeni wanaokula madawa ya kulevya ni yupi kati ya hao wawili anafanya kufuru?
Kuanzisha Qiblah yao ni maamuzi yao na obviously wana sababu zao ila nao wasiwaingilie wenzao kuburudika na gambe wakimwagilia mioyo yao katikati ya mapigano.Wanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu.
Kitendo hicho kimewaumiza na kuwakasirisha waislamu wengi. Ambao wanasisitiza kaaba ni moja tu iliyopo Makjah Saudi Arabia.
Tawi hilo la shia Zayd wa houthi kiliasisiwa na Zayd ibn Ali mjukuu wa Husayn ibn Ali na wanapatikana tu Yemen.
wakati huohuo wanamghambo hao machachari walipowashinda majeshi ya Saudi Arabia ambao ni wa Sunni walikasirika sana kukuta pombe kali kwenye makambi yao ambazo walikuwa wanakunywa.
Wakatupiako kavideo wakilaani wanajeshi kunywa pombe wakati wakihubirigi ni haram.
View attachment 3677259
Akhi adriz de mbusii Mufti kuku The Infinity
Hii ni mbaya kwa ninavyowajua washika mapangaKabla ya ha Houth hawajajenga Kaaba ya kwao, Nigeria walishaijenga ya kwao miaka miwili iliyopita, sema ni kwa ajili ya rehearsal tu, ingawa soon wana mpango wawe wanahiji hapohapo
View attachment 3677341
Hujatuambia ni jambo gani si sawa, kwanini sisawa, na kipi kilicho sawa
Kabla ya ha Houth hawajajenga Kaaba ya kwao, Nigeria walishaijenga ya kwao miaka miwili iliyopita, sema ni kwa ajili ya rehearsal tu, ingawa soon wana mpango wawe wanahiji hapohapo
View attachment 3677341
ati wanabweka 😀😀😀😀Wapo sahihi,, hata Iran huwa hawaendi kuhiji Mecca, wana marneo ya ya kuhiji huko kwao ma Mahujaji kutoka sehemu mbalimbali duniani huwa wanaenda kuhiji.
Pia waislam wengi wanaowapinga Saud Arabia sasa hivi watakuwa hawaendi tena Mecca kuhiji, wataenda kuhuji kwa Wahouth Yemen.
So sasa hivi kila mtu ataanzisha uislam wake kwa namna navyompendeza
View attachment 3677272
View attachment 3677273