Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Saiv utaanza kuwa rafiki yangu sasaMkaldayo inakuaje asee. Nimerudi.
Mwaga moto mgerasi
Saiv utaanza kuwa rafiki yangu sasaMkaldayo inakuaje asee. Nimerudi.
Vagina kumbe upppooo😁😁Mbona sehemu nyingi hata hapa petu wanajenga. Hujauliza ni kwa nini wanajenga?
Msikiti wa sule upo wapiWapo sahihi,, hata Iran huwa hawaendi kuhiji Mecca, wana marneo ya ya kuhiji huko kwao ma Mahujaji kutoka sehemu mbalimbali duniani huwa wanaenda kuhiji.
Pia waislam wengi wanaowapinga Saud Arabia sasa hivi watakuwa hawaendi tena Mecca kuhiji, wataenda kuhuji kwa Wahouth Yemen.
So sasa hivi kila mtu ataanzisha uislam wake kwa namna navyompendeza
View attachment 3677272
View attachment 3677273
mlevi wa mirungi anamuona anaekunywa black label ndio mlevi lkn sio yeyePombe ni Haram,lakini mdomoni wanakula mirungi na madawa ya kulevya😂😂😂😂😂😂 Dunia vioja
Ni jengo la mawe lililo katikati ya msikiti muhimu zaidi na eneo takatifu zaidi la Uislamu, Masjid al-Haram, mjini Makka, Saudi Arabia.Kàaba ndio nini kwa tusio fahamu?
Ziwe nyingi tu. Magharibi, North, central, north east, northe west, south kila sehemu zijengwe kaaba. Kenya walijenga yao 2016. Sijui iliishia wapiAfrika iwepo moja!
Oya dogo leo napitia maeneo ya home kwenu Oysterbay/Masaki. Please 🙏🏿wajulishe mabeki tatu wenu nakuja kula Ice cream , humbuger na piza. Pia washtue walinzi getini.Mambo yao waachieni wenyewe, wana laani pombe, huku ni watumiaje wakubwa wa Bangi, Mirungi na madawa ya kuleva...
Cc: Mahondaw
Beki tatu kaenda kuolewa bado hajarudi...Oya dogo leo napitia maeneo ya home kwenu Oysterbay/Masaki. Please 🙏🏿wajulishe mabeki tatu wenu nakuja kula Ice cream , humbuger na piza. Pia washtue walinzi getini.