Kitendo cha Houthi kutengeneza kaaba yao imewakasirisha sana waislamu wengi

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Wanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu.
Your browser is not able to display this video.

Kitendo hicho kimewaumiza na kuwakasirisha waislamu wengi. Ambao wanasisitiza kaaba ni moja tu iliyopo Makjah Saudi Arabia.

Tawi hilo la shia Zayd wa houthi kiliasisiwa na Zayd ibn Ali mjukuu wa Husayn ibn Ali na wanapatikana tu Yemen.

wakati huohuo wanamghambo hao machachari walipowashinda majeshi ya Saudi Arabia ambao ni wa Sunni walikasirika sana kukuta pombe kali kwenye makambi yao ambazo walikuwa wanakunywa.

Wakatupiako kavideo wakilaani wanajeshi kunywa pombe wakati wakihubirigi ni haram.

Your browser is not able to display this video.



Akhi adriz de mbusii Mufti kuku The Infinity
 
Wapo sahihi,, hata Iran huwa hawaendi kuhiji Mecca, wana marneo ya ya kuhiji huko kwao ma Mahujaji kutoka sehemu mbalimbali duniani huwa wanaenda kuhiji.
Pia waislam wengi wanaowapinga Saud Arabia sasa hivi watakuwa hawaendi tena Mecca kuhiji, wataenda kuhuji kwa Wahouth Yemen.
So sasa hivi kila mtu ataanzisha uislam wake kwa namna navyompendeza

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sioni kosa kwa vile wanajua mengi ambayo wanaojiita waislamu hawajui. Nadhani wafurahie hili badala ya kukasirika kwa sababu linawafumbua macho na kuwafundisha wasiyojua. Waungwe mkono.
 
Si watailipua ile kaaba ya maka? Hawa wanamgambo ni kituko kwa kweli, hiyo kaaba yao nani ataenda kuhiji huko wakati ile ya maka ipo?
 
Itakuwaje kwa hawa kobazi wa kibongo kina mwakifyamba, mutaringirwa, massawe, wataenda kuhiji kaaba ipi, ya saudia au ya wahouth?. Ndio maana huwa tunawaambia wanapumbazika kufuata na kuamini tamaduni za waarabu zisizowahusu. Mungu hayupo kwenye upuuzi wa kukimbilia kuaabudu ma kaaba ya waarabu, muafrika inakusu nini?
 
Hii ni kweli? Isije kuwa ni propaganda au imetengenezwa kama walivyotengeneza ISIS wakijua kwa kufanya hivi waislamu wote watakuwa dhidi yao. Walianza kwa kusema wameshambulia Mecca, wao wakakana
 
Sasa kiwakasirishe Waislamu kwani baada ya kujenga hiyo KAABA YAO wanawalazimisha waende huko?
Hii ni kweli? Isije kuwa ni propaganda au imetengenezwa kama walivyotengeneza ISIS wakijua kwa kufanya hivi waislamu wote watakuwa dhidi yao. Walianza kwa kusema wameshambulia Mecca, wao wakakana
Afrika iwepo moja!
Si watailipua ile kaaba ya maka? Hawa wanamgambo ni kituko kwa kweli, hiyo kaaba yao nani ataenda kuhiji huko wakati ile ya maka ipo?
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Kabla ya ha Houth hawajajenga Kaaba ya kwao, Nigeria walishaijenga ya kwao miaka miwili iliyopita, sema ni kwa ajili ya rehearsal tu, ingawa soon wana mpango wawe wanahiji hapohapo

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…