Kitendo cha Houthi kutengeneza kaaba yao imewakasirisha sana waislamu wengi

Ya wa Houthi waachie wa Houthi. Jikite kwanza kupambana na kutokomeza uovu na Ukandamizaji unaoendelea nchini Kwako sasa hivi.
 
Haya yote mtume s.a.w aliyatabiri hakuna jipya hapo, nacho shukuru nimezaliwa nikiujia ukweli kua Kaaba ni Moja tu ipo saudia na ile sio jengo tu kua unaeza Jenga au siosanamu hapana pale papo kihistoria kabisa
 
Kabla ya ha Houth hawajajenga Kaaba ya kwao, Nigeria walishaijenga ya kwao miaka miwili iliyopita, sema ni kwa ajili ya rehearsal tu, ingawa soon wana mpango wawe wanahiji hapohapo

View attachment 3677341
huu uislam miaka si mingi utakuja kusambaratika. Aibu itakuwa kwa waafrika weusi tii kusini mwa jangwa la sahara, wataonekana waliingizwa mkenge na waarabu kuamini na kuabudu mila na tamadauni za kigeni huku wakiacha tamaduni zao za asili
 
Wasaudia wanapiga Sana vyombo wakiwa nje ya Saudia
 
Kama maswahaba wenyewe walioandika kitab ni walevi unategemea nini,ndio maana wakasema mito ya pombe
 
Aisee! Dunia inapitia katika uamsho na mabadiliko makubwa sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote. Yawe chanya au hasi hakuna namna.
 
ok.πŸ’
 
Allah kahamia makazi mapya
 
Kuanzisha Qiblah yao ni maamuzi yao na obviously wana sababu zao ila nao wasiwaingilie wenzao kuburudika na gambe wakimwagilia mioyo yao katikati ya mapigano.
Your right is not necessarily my right, beliefs rarely align with universal perspectives.
 
ati wanabweka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…