Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Kila mtu ana mbinu zake kutokana na alivyowekeza,,,,,wamagharibi kwenye vita vya ardhini walishapakimbia huko.....ndo maana kikianza kunuka wanaanza kuwahi kwanza air superiority, wakishakushika hapo ndo wanakuja ardhini
Kweli kabisa mkuu
Vita vya ardhini vimeshapitwa na wakati
Sasa hivi ni vita ya kiuchumi na Tech
 
Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.
Naomba source ya kuaminika ya hii habari ambayo sio kutoka India kwa sababu pamoja na kwamba hii habari ni kubwa lakini kila source unayogusa ni media za India! Sasa kama hizi habari ni kweli, media zingine zimewapita vipi?
 
Back
Top Bottom