Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ok, leo mmepakwa macuta subirini misumari ipenyeWagalatia bado mna jipa matumaini baada ya kuchapwa kofi la makalio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, leo mmepakwa macuta subirini misumari ipenyeWagalatia bado mna jipa matumaini baada ya kuchapwa kofi la makalio
Cyber ikabonyeze button 😄 we uko sawa lakini Cyber ni computer code iwe na vidole kweli hi babkubwa.Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.
Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo.
MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu yaishe. Maana anaweza kutumia Mifumo yako mwenyewe kukumaliza.
Soma Pia: Israel yashambulia Syria na kusambaratisha kituo cha kijeshi cha kutengeneza silaha za kemilali Mali ya Iran huko Syria
Why not GOD bless AFRICA?GOD BLESS ISRAEL
Au siyo,rahisi tu hivyo kama kuzima taa!!?Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.
Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo.
MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu yaishe. Maana anaweza kutumia Mifumo yako mwenyewe kukumaliza.
Soma Pia: Israel yashambulia Syria na kusambaratisha kituo cha kijeshi cha kutengeneza silaha za kemilali Mali ya Iran huko Syria
Israel ipi? Ya akina Yakobo au hii hii inayosema Yesu yupo motoni?!Kuitakia baraka Israel ni kujitakia baraka wewe na nchi yako. Tuwaombee baraka wana wa Yakobo.
Is your country blessed enough?GOD BLESS ISRAEL
Kwani hiyo sio vita Angalia yom kippur war,..Israel ujanjaujanja mwingi ila vita vya kweli haviwezi
Kwani Pagers ilikuwaje mkuu ??Au siyo,rahisi tu hivyo kama kuzima taa!!?
Kurusha mapipa ambayo hayana madhara yoyote zaidi ya kuwasha ving'ora vya Israel siyo ?Acheni utani basi tunasbiri kichapo heavy afu mnaleta blaa blaaa!!
Ulishawahi hata kutumia remote ya Tv ?Cyber ikabonyeze button 😄 we uko sawa lakini Cyber ni computer code iwe na vidole kweli hi babkubwa.
Mungu hawezi bariki Nchi inayoiba kura.Why not Tanzania?
Nilipokua mdogo mtaani kulikua na kamchezo cha watoto kurusha mawe juu ya bati,mimi ilikua nikisikia jiwe ya bati letu basi nitafanya uchunguzi wa kitoto hadi nijue mtoto gani alitupia jiwe kwenye bati letu na nikimjua kama ni juma ndie aliepiga bati letu,na mimi naenda kulipiga bati lao,sasa israel anajua iran ndie alierusha kombora tel aviv,iran ndie anawafund hamas na hezbollah kwanini aendi kuipiga iran ana kazi ya kuipiga syria ishajichokea,lebanon na gaza 😂Israel na Iran hawawezi kupigana, ushawahi kuona wapi kwenye mapigano mtu anakupiga kwanza afu anakuacha eti mpaka wewe urudishe, wanakua kama watoto bana!!!
Kwa kweli inashangazaIsrael na Iran hawawezi kupigana, ushawahi kuona wapi kwenye mapigano mtu anakupiga kwanza afu anakuacha eti mpaka wewe urudishe, wanakua kama watoto bana!!!
Reverse computer engineeringKweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.
Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo.
MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu yaishe. Maana anaweza kutumia Mifumo yako mwenyewe kukumaliza.
Soma Pia: Israel yashambulia Syria na kusambaratisha kituo cha kijeshi cha kutengeneza silaha za kemilali Mali ya Iran huko Syria
Ila huyo Mungu anabariki nchi ambayo ilipokonya ardhi ya watu kwa dhuluma?Mungu hawezi bariki Nchi inayoiba kura.
KawachokozeIsrael ujanjaujanja mwingi ila vita vya kweli haviwezi
GOD BLESS ISRAEL
Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.
Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo.
MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu yaishe. Maana anaweza kutumia Mifumo yako mwenyewe kukumaliza.
Soma Pia: Israel yashambulia Syria na kusambaratisha kituo cha kijeshi cha kutengeneza silaha za kemilali Mali ya Iran huko Syria
Ila anaweza akubariki nchi ambayo kwao kufirana ni kawaida tena kwa wanaumeMungu hawezi bariki Nchi inayoiba kura.