Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Vita vya kweli ni vipi kwenye dunia ya Tech,Israel ujanjaujanja mwingi ila vita vya kweli haviwezi
Hutujui amechukua control ya nini mkuuWafanye kama walivyofanya "pagers" za Hezbollah
Huo ndo uwezo wa Iran mkuuNdugu hao hawez kupigana wew umeona wap makombora ya masafa yanaua mbuzi na panya tu Israel.......
Kila mtu ana mbinu zake kutokana na alivyowekeza,,,,,wamagharibi kwenye vita vya ardhini walishapakimbia huko.....ndo maana kikianza kunuka wanaanza kuwahi kwanza air superiority, wakishakushika hapo ndo wanakuja ardhiniIsrael ujanjaujanja mwingi ila vita vya kweli haviwezi
Why not Tanzania?GOD BLESS ISRAEL
Vita vya majambia na ngao kwake ndio vita! Enzi za farasi zilishapita.Vita vya kweli ni vipi kwenye dunia ya Tech,
Au mpaka uone wanarushiana makonde na mateke ?
Kuitakia baraka Israel ni kujitakia baraka wewe na nchi yako. Tuwaombee baraka wana wa Yakobo.Why not Tanzania?
Damn fool.Kuitakia baraka Israel ni kujitakia baraka wewe na nchi yako. Tuwaombee baraka wana wa Yakobo.
Kweli kabisa mkuuKila mtu ana mbinu zake kutokana na alivyowekeza,,,,,wamagharibi kwenye vita vya ardhini walishapakimbia huko.....ndo maana kikianza kunuka wanaanza kuwahi kwanza air superiority, wakishakushika hapo ndo wanakuja ardhini
Vita sio manguvu na kurusha mapipa mkuuWagalatia bado mna jipa matumaini baada ya kuchapwa kofi la makalio
Naomba source ya kuaminika ya hii habari ambayo sio kutoka India kwa sababu pamoja na kwamba hii habari ni kubwa lakini kila source unayogusa ni media za India! Sasa kama hizi habari ni kweli, media zingine zimewapita vipi?Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.