Kwanza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Haina Makamu wawili wa Raisi kwa Sasa, kama ilivyokuwa miaka ile ya mwanzo wa Utawala wa Raisi Mwinyi.
Inaonekana Jaji Mkuu, kama mwanadamu, anajuchanganya mwenyewe au Bado katika kumbukumbu zake anao ule utaratibu wa enzi za Mwinyi.
Hata hivyo Jaji Mkuu sio point of reference mpaka tuamini au kutatanishwa na kauli yake haswa pale inapokuwa kinyume au ulimi kuteleza.
Kwani Katiba yetu inasemaje?,
View attachment 3261142
Hiyo ndio Katiba na ndio uhalisia.
Kauli ya Jaji Mkuu ya kuteleza ulimi isituyumbishe.