Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Hajateleza alikua anatoa alarm kuwa mambo ndivyo yalivyo ili tuonee ndan ya makosa hayothis is not fair, CJ kote huko ni ameteleza tuu ulimi!。
P
1. Hamadi masauni
2. Makame mbarawa
Manaibu wa wa wizara na makatibu wakuu pia wapo kutoka zanzibar kwa wingi.
Hizi nafasi zingeshikwa na watanganyika ingeongeza maendeleo kwenye majimbo, mikoa na kanda kwa ujumla zanzibar ni ndogo kieneo alikuwa anatosha yeye peke yake kuwa raisi kutoka zanzibar.
Watanfanyika nafazi zote za mawaziri manaibu waziri na makatibu wakuu angeacha wawe ni wa TANGANYIKA TU.
lakini huu ni mwanzo ngoja apate mitano tena itakuwa nusu wanzanzibar kwenye nafasi za mamlaka na maamuzi