Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

Hii nchi kwa kweli haieleweki hivi karibuni pia tuliambiwa Dr Philip Mpango amejiuzulu kwamba kamuandikia Rais barua ya kujiuzulu na rais amemkubaliani.
Kwa sasa hii Nchi haina makamu wa rais kwa mujibu wa katiba
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.

View attachment 3260960

MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanganyika anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.​
Makamu wa rahis ni mumewe na mkwewe
 
Hii nchi kwa kweli haieleweki hivi karibuni pia tuliambiwa Dr Philip Mpango amejiuzulu kwamba kamuandikia Rais barua ya kujiuzulu na rais amemkubaliani.
Kwa sasa hii Nchi haina makamu wa rais kwa mujibu wa katiba
Barua ya kujiuzulu umeiona? Tarehe ya kujiuzulu katika barua hiyo ni tarehe ngapi?
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.

View attachment 3260960

MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanganyika anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.​
Hii Katiba inashida
 
Kwa hiyo hapa rais alidanganya umma?

Nimesikiliza.

Kwani rais kasemaje hapo kwa uelewa wako?

Mimi sikusema hakuna barua ya kujiuzulu.

Nimeuliza hivi.

Barua ya kujiuzulu umeiona? Tarehe ya kujiuzulu katika barua hiyo ni tarehe ngapi?

Kwa mujibu wa rais, Dr. Mpango kasema anataka kupumzika, haijaelezwa anataka kupumzika kabla au baada ya uchaguzi.

Katika hiyo video rais anazungumzia Dr. Mpango atamsaidia kumaliza miaka mitano.

Maana yake atamalizia muhula huu mpaka uchaguzi ufike.

Hiyo video uliyoiweka hapa wewe mwenyewe umeisikiliza?
 
Katiba mpya bora ni muhimu sana !
Hata Watoto wa wakulima wanajua hivyo !
Kwa sasa wameanza kujua hivyo 😳!
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.

View attachment 3260960

MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanganyika anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.​
Ameibinafsisha Tanganyika kivipi ilihali yeye pia kaikuta hii Katiba iliyopo kama ilivyo ??!

Labda ungemlaumu Kikwete kuhusu kushindikana kupatikana Katiba mpya kupitia Rasimu ya Katiba ya Warioba !

Muungwana huangalia wapi alipojikwaa !
Sio wapi alipoangukia 😳 !
 
Hii Katiba inashida
Mpaka tutakapoimba wimbo mmoja na watoto wa wakulima wote Nchini ndipo Katiba mpya bora itakapopatikana !

Wacha iendelee tu kwa sasa kuwasigina sigina kidogo kidogo na wao ili wapate na wao tumaumivu maumivu twa hapa na pale kama ilivyotokea kule Mjengoni kwetu siku zile 😳 !
 
Lakini ieleweke bila kupotoshwa kwamba haya mambo hayakuanzia kwa Mama !
Yeye pia ameyakuta yakiwa hivyo !
Si vyema kumsukumia kila jumba bovu yeye !

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu 🙏🙌
 
Mimi sio ccm lakini ni muumini wa ukweli;
1.. Iweje umsingizie Samia kuwa ndiye aliyebuni hiyo nafasi ya makamu wa pili ilhali inaonyesha wazi ni makosa ya jaji mkuu tena aliyaanza tangu enzi za Magufuli?

Ukijibu hili swali nitakuuliza la pili
Jaji hawezi kukosea kosea mara zote hizo tena kwa nyakati tofauti tofauti !
 
Back
Top Bottom