Inasikitisha raia kutoka nchi ya kigeni anakuja kuongoza Tanganyika utadhani watanganyika hatuna watu wenye uwezo wa kuongoza. Na kibaya zaidi anashiriki kuuza rasilimali za taifa la Tanganyika huku za upande wa nchi yao anaziacha bila kuzigusa. Inauma sana.WATANGANYIKA tuamke kutoka usingizini
Hili ni tatizo kubwa sana ambalo ametusababishia huyu mama kwa kuisigina katiba waziwazi. Mungu atamhukumu kama alivyomhukumu mtangulizi wake. Malipo ni hapa hapa dunianini.Kama ni nje ya katiba, waandishi wanaweza kumtembelea kumuhoji afafanue au watakuwa wameingilia muhimili?
Ninachokiona mimi, kama ataendelea kushupaza shingo, Mungu ataingilia kati kama ilivyotokea kwa mtangulizi wake. Mtu hawezi kuja from no where anakuja kuuza rasilimali za Tanganyika halafu akabaki salama. Ee mungu mwenyezi tunakuomba utusikie kilio chetu watanganyika, utoendolee huyu mgeni anayetaka kuigeuza Tanganyika kuwa koloni la Zanzibar.Kwa huu upuuzi, wanaCCM wenye akili timamu, wanaoipenda nchi yao, fanyeni kila mnaloweza kumpumzisha huyu mama. Kwa tunavyoenda, huko mbeleni watu hawatataka hata kusikia jina la huyu mama na CCM. Utawala wake umeidhalilisha sana Tanganyika:
Fikiria alipoamua kugawa bandari kwa waarabu, walioshiriki kwenye deal lote, kuanzia waziri, katibu mkuu, mwanasheria na mkurugenzi wa bandari, wote walikuwa wazanzibari. Alipoamua kugawa mbuga za wayama na na hifadhi za misitu kwa waarabu, waziri alikuwa mkwe wake. Alipoamua kupora uchaguzi wa Serikali za mitaa, alimpeleka mkwe wake kwenda kusimamia huo uharamia!!
Tumkatae Samia kwa sababu ameonekana wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa hana dhamira njema na rasilimali za Tanganyika, na Tanganyika kwa ujumla.
Hawezekani akawa anakosea kote huko kwa kipindi chote hicho na ktk matukio yote hayo!this is not fair, CJ kote huko ni ameteleza tuu ulimi!。
P
Mkuu hivi kweli una akili timamu? Fool ni huyo CJ au ni wewe?Nani ana uhakika na clip labda imechakachuliwa.
Pili yupo Jaji Mkuu aliyeonekana akitoa maneno hayo kwanini msimuulize?
Tatu cheo cha makamu wa pili wa Raisi je kipo kwenye katiba?
Nilidhani fools day ipo April mosi kumbe kuna nyingine kama hii.
Yaani jaji mkuu hajui,jaji mkuu akosee,Hata kama kakosea ndio tunyamaze.NA KAMA JAJI MKUU KAKOSEA SASA KINGWENDU ATAJUA NINI JAMANI.Hili taifa kuna siku litakuwa kama DRC tu.Kwanza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Haina Makamu wawili wa Raisi kwa Sasa, kama ilivyokuwa miaka ile ya mwanzo wa Utawala wa Raisi Mwinyi.
Inaonekana Jaji Mkuu, kama mwanadamu, anajuchanganya mwenyewe au Bado katika kumbukumbu zake anao ule utaratibu wa enzi za Mwinyi.
Hata hivyo Jaji Mkuu sio point of reference mpaka tuamini au kutatanishwa na kauli yake haswa pale inapokuwa kinyume au ulimi kuteleza.
Kwani Katiba yetu inasemaje?,
View attachment 3261142
Hiyo ndio Katiba na ndio uhalisia.
Kauli ya Jaji Mkuu ya kuteleza ulimi isituyumbishe.
Mkuu hii nchi inakoelekea siko kabisa. Ni kama vile nchi inajiendesha yenyewe. Huyu raia wa kigeni ambaye CCM walimuazima kutoka nchi ya Zanzibar anachojua tu ni kuuza rasilimali za Tanganyika na nyingine anasomba kwenye majahazi anapeleka nchini kwao.Yaani jaji mkuu hajui,jaji mkuu akosee,Hata kama kakosea ndio tunyamaze.NA KAMA JAJI MKUU KAKOSEA SASA KINGWENDU ATAJUA NINI JAMANI.Hili taifa kuna siku litakuwa kama DRC tu.
Mkuu wanasema wakati mwingine akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.Mkuu hivi kweli una akili timamu? Fool ni huyo CJ au ni wewe?
Mkuu kusoma hujui hata picha huoni? Ina maana alitiliwa maneno kinywani mkuu? Anafanya hivyo baada ya kupokea maelekezo kutoka kwa Samia.Mkuu wanasema wakati mwingine akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Unaambiwa Mama Samia alikuwa Makamu wa pili,msemaji Chief Justice?
Haigii akilini.
Mkuu wakati huo Raisi alikuwa Magufuli Mama Samia alikuwa Makamu wa Raisi.Mkuu kusoma hujui hata picha huoni? Ina maana alitiliwa maneno kinywani mkuu? Anafanya hivyo baada ya kupokea maelekezo kutoka kwa Samia.
Wewe huaminiki tena sababu ya uchawa wako usiokulipathis is not fair, CJ kote huko ni ameteleza tuu ulimi!。
P
Huyu Irenga(comment#4) yaweza kuwa yuko sahihi sana ingawa hakuweza kufafanua vizuri.Sheria haijavunjwa eeh? Una shida kichwani mwako mkuu. Inawezekanaje raia kutoka nchi ya Zanzibar (Samia Suluhu) aje kutawala nchi ya Tanganyika? Uliwahi kuona mtanganyika hata mmoja anatawala nchi ya Zanzibar?
ILA NGOMA ZIKILIAGA SANA HIZI,BADO NAAMINI KUNA WATU HUWA HAWAHASI WALA HAWAHASIWI.MUNGU ATATUPA NENO.Mkuu hii nchi inakoelekea siko kabisa. Ni kama vile nchi inajiendesha yenyewe. Huyu raia wa kigeni ambaye CCM walimuazima kutoka nchi ya Zanzibar anachojua tu ni kuuza rasilimali za Tanganyika na nyingine anasomba kwenye majahazi anapeleka nchini kwao.
Na kibaya zaidi amezuia watanganyika wasichukue fomu ya uongozi ili aendelee kutapanya rasilimali za nchi yetu akizipeleka nchi kwao, specifically kwenda eneo alilozaliwa la Kizimkazi.
Janga lingine kubwa katika nchi yetu ya Tanganyika ni haya maCCM na machawa wao walioruhusu Tanganyika igeuzwe kuwa koloni la Zanzibar. Anyway, ipo siku watanganyika wataamka na kuanza kudai uhuru wa nchi yao. Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Inakera sana aisee, ifike mahali Watanganyika Kwa umoja tuseme Sasa basiInasikitisha raia kutoka nchi ya kigeni anakuja kuongoza Tanganyika utadhani watanganyika hatuna watu wenye uwezo wa kuongoza. Na kibaya zaidi anashiriki kuuza rasilimali za taifa la Tanganyika huku za upande wa nchi yao anaziacha bila kuzigusa. Inauma sana.
Hata Samia aliitwa Makamu wa pili wa Rais kipindi cha NgoshaWewe unaona Rais Samia anavyopora vyeo na kuwapa wazanzibar wenzake unaona ni sawa? Acha uchochezi mkuu.
Jibu wewe kwanzaInawezekanaje akosee mara nyingi kiasi hicho mkuu? Ukiijibu hili swali nitafunguka zaidi.
Samia Suluhu hatawali Tanganyika bali anatawala Tanzania. Nina uhakiia hujui Tanganyika ilipo, ebu nionyeshe Bunge la Tanganyika, nionyeshe na bendera yao kisha nitakuonyesha paka wa samawati.Sheria haijavunjwa eeh? Una shida kichwani mwako mkuu. Inawezekanaje raia kutoka nchi ya Zanzibar (Samia Suluhu) aje kutawala nchi ya Tanganyika? Uliwahi kuona mtanganyika hata mmoja anatawala nchi ya Zanzibar?
AiseeeNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
View attachment 3260960
MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanganyika anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.