Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?

Tizama hii[emoji1370]

Katiba hii haiheshimiwi. "A new constitution is needed".
 
Ni sawa. Lakini mwenye nchi kutoka Zenjibay kaona iwe hivyo! Tatizo liko wapi? Mbona haukuitishwa uchaguzi mkuu baada ya rais kufia madarakani kama tulivyofundishwa kwenye somo la uraia mashule baada ya mfumo wa vyama vingi? Bwai bwai!
Duh! JF inahitaji kuwa inatoa darsa la Katiba kwa wachangiaji wake!
 
Uko sahihi Mkuu. Lakini, out of good will, wakati wa vikao vya Baraza la Mawaziri, kulia kwa Rais akikaa Makamu wa Rais basi kushoto kwake anakaa Rais wa Zanzibar. The reverse is true.
Wanafanya hivyo ila rais was muungano na makamu wake wasipokuwepo waziri mkuu ndiye ataendesha nchi hapo nazungumzia Kama wapi nje ya nchi rais was Zanzibar Hana nafasi yoyote ya kukaimu.
Ingawa makamu was rais ni wa pili kimadaraka bado waziri mkuu Ana nafasi kubwa kiutendaji kuliko makamu was rais was muungano
 
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?

Tizama hii[emoji1370]

Makamu wa rais ni wa Tanzania, si wa bara.
 
Wanafanya hivyo ila rais was muungano na makamu wake wasipokuwepo waziri mkuu ndiye ataendesha nchi hapo nazungumzia Kama wapi nje ya nchi rais was Zanzibar Hana nafasi yoyote ya kukaimu.
Ingawa makamu was rais ni wa pili kimadaraka bado waziri mkuu Ana nafasi kubwa kiutendaji kuliko makamu was rais was muungano
Naomba nikusahihishe. Katiba inawataja Rais, Makamu wa Rais, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu ndio wanaoweza kuongoza nchi kama mmoja hayupo kwa mfuatano nilivyoandika. Waziri Mkuu hayumo!
 
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?

Tizama hii[emoji1370]

Huyo ni jaji mkuu yaani mtafsiri wa mwisho wa sheria hapa nchini! Sasa sisi ni akina nani mpaka tubishe?
 
Ni makosa..period. Nilidhani ameteleza ulimi. Zanzibar ndio wana nafasi mbili za makamo ambazo Katiba ya Muungano haizitambui.

Swali la kujiuliza ni kwa nini amekuwa akirudia hivyo mara kwa mara!?
Je yeye kama nguli wa sheria na kwa nafasi yake kama jaji mkuu hajui kuwa anakosea?
Pengine angetakiwa awekwe kitimoto aeleze ni kwa nini anafanya hayo makosa mara kwa mara, na kama ni kujisahau basi anyofolewe kwenye hiyo ofisi haraka!
Na inadhihirisha yapo makosa mengi sana ambayo amewahi kuyafanya na anaendelea kuyafanya huko ofisini alipo...
 
Hatuna makamo wa rais bara mkuu, tuna makamo wa rais wa JMT naye kwa cheo hicho ni mmoja tu. Huyo aliemtambulisha vyinginevyo kafanya kimakosa. Rais wa SMK si makamo wa rais JMT kikatiba lakini ni mjumbe wa baraza la mawaziri wa JMT kwa nafasi yake.

Mm ndio maana naitaka Tanganyika yangu [emoji23][emoji23] sielewagi kingine
 
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?

Tizama hii[emoji1370]

Aulizwe yeye
 
Ni sawa. Lakini mwenye nchi kutoka Zenjibay kaona iwe hivyo! Tatizo liko wapi? Mbona haukuitishwa uchaguzi mkuu baada ya rais kufia madarakani kama tulivyofundishwa kwenye somo la uraia mashule baada ya mfumo wa vyama vingi? Bwai bwai!
Makosa aliyaanza enzi za JPM. Ana ubwege wake tu!
 
Back
Top Bottom