Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Katiba hii haiheshimiwi. "A new constitution is needed".Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?
Tizama hii[emoji1370]
Duh! JF inahitaji kuwa inatoa darsa la Katiba kwa wachangiaji wake!Ni sawa. Lakini mwenye nchi kutoka Zenjibay kaona iwe hivyo! Tatizo liko wapi? Mbona haukuitishwa uchaguzi mkuu baada ya rais kufia madarakani kama tulivyofundishwa kwenye somo la uraia mashule baada ya mfumo wa vyama vingi? Bwai bwai!
Wanafanya hivyo ila rais was muungano na makamu wake wasipokuwepo waziri mkuu ndiye ataendesha nchi hapo nazungumzia Kama wapi nje ya nchi rais was Zanzibar Hana nafasi yoyote ya kukaimu.Uko sahihi Mkuu. Lakini, out of good will, wakati wa vikao vya Baraza la Mawaziri, kulia kwa Rais akikaa Makamu wa Rais basi kushoto kwake anakaa Rais wa Zanzibar. The reverse is true.
Makamu wa rais ni wa Tanzania, si wa bara.Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?
Tizama hii[emoji1370]
Weka hicho kipengele,acha ujuwaji wako.Kasome katiba waziri anakuwaje juu ya waziri mkuu, kwani wametumia mjumbe was Baraza la mawaziri na sio rahisi wa Zanzibar, waziri mkuu majukumu yake kikatiba yameainishwa
Na senior waziri anayekuwepo anaweza ku-chair baraza yeye akiwepo? Mathalani kwa sasa, Lukuvi?Rais was Zanzibar ni mjumbe was Baraza la mawaziri kirank Yuko chini ya waziri mkuu
Naomba nikusahihishe. Katiba inawataja Rais, Makamu wa Rais, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu ndio wanaoweza kuongoza nchi kama mmoja hayupo kwa mfuatano nilivyoandika. Waziri Mkuu hayumo!Wanafanya hivyo ila rais was muungano na makamu wake wasipokuwepo waziri mkuu ndiye ataendesha nchi hapo nazungumzia Kama wapi nje ya nchi rais was Zanzibar Hana nafasi yoyote ya kukaimu.
Ingawa makamu was rais ni wa pili kimadaraka bado waziri mkuu Ana nafasi kubwa kiutendaji kuliko makamu was rais was muungano
Kwa Katiba Ipi?Kwa hiyo hujui kama rais wa SMZ kuwa ndiye makamu wa kwanza?
KasomeWeka hicho kipengele,acha ujuwaji wako.
Hujui kitu,nenda zako.Kasome
Makosa mara zote hizo? Naamini ni makosa lakini makosa mara zote hizo inakuwa shida kwa kweli.Ni makosa..period. Nilidhani ameteleza ulimi. Zanzibar ndio wana nafasi mbili za makamo ambazo Katiba ya Muungano haizitambui.
Huyo ni jaji mkuu yaani mtafsiri wa mwisho wa sheria hapa nchini! Sasa sisi ni akina nani mpaka tubishe?Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?
Tizama hii[emoji1370]
Yaani saiv watanganyika hatuna wa kututetea sema muda utazungumza tuu na wanachokitafuta wazenji watakipata.Sisi Rais wetu wa Tanganyika ni DR.MPANGO,ila naye achangamke kututetea maana Sasa naona kama nchi inaongozwa Kutokea kisiwani vile
Ni makosa..period. Nilidhani ameteleza ulimi. Zanzibar ndio wana nafasi mbili za makamo ambazo Katiba ya Muungano haizitambui.
Hatuna makamo wa rais bara mkuu, tuna makamo wa rais wa JMT naye kwa cheo hicho ni mmoja tu. Huyo aliemtambulisha vyinginevyo kafanya kimakosa. Rais wa SMK si makamo wa rais JMT kikatiba lakini ni mjumbe wa baraza la mawaziri wa JMT kwa nafasi yake.
Aulizwe yeyeHii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?
Tizama hii[emoji1370]
Makosa aliyaanza enzi za JPM. Ana ubwege wake tu!Ni sawa. Lakini mwenye nchi kutoka Zenjibay kaona iwe hivyo! Tatizo liko wapi? Mbona haukuitishwa uchaguzi mkuu baada ya rais kufia madarakani kama tulivyofundishwa kwenye somo la uraia mashule baada ya mfumo wa vyama vingi? Bwai bwai!