Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

Katiba ya nchi haisemi kuwa kila mgombea urais lazima awe na mgombea mwenza ambaye atamrithi urais endapo atafariki, kilichotumika ni katiba ya CCM.
 
Haya yote anayoyafanya huko Zanzibar yanaigusa wapi bara upande wa pili wa Muungano? Ukiangalia kwa umakini, utaona hitaji la katiba mpya. Kw asteucture hii ya Muungano, raisi wa Zanzibar anatakiwa kuwa na hadhi sawa na Waziri mkuu ambaye pamoja na kwamba ni Waziri mkuu wa JMT kimazoea shughuli zake zimekuwa zikiishia bara. Huwa havuki maji, hii ni tofauti na raisi na makamu wake; hawa hata kuchaguliwa kwao kuna hitaji kuwe na uwiano wa kieneo, kwa mantiki hiyo hawa ndio viongozi wa muungano period.
 
Alienda kumjwakilisha Rais kama ambavyo JPM alivyowahi kumteua JK akamuwakilishe
Uwakilishaji wa JK ulikua ceremonial tu kwenye shughuli ya kitaifa huko alikoenda,ila Mwinyi Hussein ilikua na technical decision zaidi kwa Tanzania as all.
 
Hakuna la ajabu hapo. Ni muendelezo wa viongozi duni tulionao. Utamuona mtu ni profesa kumbe shiiida! Walichojaliwa ni kukosa aibu ya kuzungumza kwenye hadhira.
Ignorance of civics and civic education altogether.
 


Kama Rais wa Zanzibar kwenye Cabinet ni zaidi ya Waziri Mkuu, kwanini Rais na Makamu wasipokuwepo anapewa Waziri Mkuu kuongoza vikao?
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha.

Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.

Your browser is not able to display this video.


MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanganyika anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya.

Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.


View: https://www.youtube.com/watch?v=uEiA-G2LogA
 
Mimi sio ccm lakini ni muumini wa ukweli;
1.. Iweje umsingizie Samia kuwa ndiye aliyebuni hiyo nafasi ya makamu wa pili ilhali inaonyesha wazi ni makosa ya jaji mkuu tena aliyaanza tangu enzi za Magufuli?

Ukijibu hili swali nitakuuliza la pili
 
this is not fair, CJ kote huko ni ameteleza tuu ulimi!。
P
 
Mimi sio ccm lakini ni muumini wa ukweli;
1.. Iweje umsingizie Samia kuwa ndiye aliyebuni hiyo nafasi ya makamu wa pili ilhali inaonyesha wazi ni makosa ya jaji mkuu tena aliyaanza tangu enzi za Magufuli?

Ukijibu hili swali nitakuuliza la pili
Inawezekanaje akosee mara nyingi kiasi hicho mkuu? Ukiijibu hili swali nitafunguka zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…