Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Katiba ya nchi haisemi kuwa kila mgombea urais lazima awe na mgombea mwenza ambaye atamrithi urais endapo atafariki, kilichotumika ni katiba ya CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waunganishe basi zite mbili maana ni maudhui yale yaleKwanini ufutwe mkuu?? Wacha tujadili tuelewe
[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Hapa inabidi wamkaribishe wakili msomi Tundu Antipas Lissu aje atufafanulie kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania kuhusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 2020 kuwa na Makamu wa Pili wa Rais ktk serikali ya Muungano wa Tanzania.
Je rais wa Zanzibar SMZ aliye mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar BLMZ walimshindikiza hayati mwendazake John Pombe Magufuli kutambua ukubwa wa Rais wa SMZ aliye mwenyekiti w BLMZ katika serikali ya Muungano wa Tanzania?
Na ndiyo maana Hayati rais John Magufuli wala Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano hawajatia neno kuhusu Jaji Mkuu wa Tanzania kutambua uwepo wa kiaina wa Makamu wa Pili wa Rais ktk serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka hapo katiba itapobadilishwa na kutambua uwepo wa Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili wa Rais ktk serikali ya Muungano wa Tanzania ili kumuweka panapostahili kiitifaki / kiprotokali Rais wa SMZ ktk Setikali ya Muungano wa Tanzania.
Haiwezekani rais wa SMZ atambulike kama mjumbe aliye na wadhifa wa uwaziri ktk mkutano wa baraza la mawaziri wa Muungano ( kabineti). Wakati rais wa serikali ya SMZ kiitifaki kwa sasa ni mkubwa kuliko Makamu wa Rais wa JMT pia ni mkubwa kuliko Waziri Mkuu wa JMT.
Rais wa SMZ anaongoza nchi ndani ya Jamhuri ya Muungano, ana bendera ya rais wa SMZ ana vikosi maalumu, KMKM na valantia katika nchi ya Zanzibar, ana uwezo wa kuvunja Baraza la Uwakilishi Zanzibar pia kuitisha uchaguzi Zanzibar wakati kwa mfano Makamu wa Rais JMT na waziri mkuu wa JMT hana madaraka hayo wala wadhifa unaokaribia U-Amiri Jeshi wa Majeshi ktk nchi.
Ni mbovu sn huyu mzeeHuyu jaji anapaswa kufutwa kazi na kufunguliwa mashitaka. Anamdogosha VP wetu
Uwakilishaji wa JK ulikua ceremonial tu kwenye shughuli ya kitaifa huko alikoenda,ila Mwinyi Hussein ilikua na technical decision zaidi kwa Tanzania as all.Alienda kumjwakilisha Rais kama ambavyo JPM alivyowahi kumteua JK akamuwakilishe
Well said, hayataki kusoma badala yake yanahoji kila kitu !Kwa hiyo hujui kama rais wa SMZ kuwa ndiye makamu wa kwanza?
Ignorance of civics and civic education altogether.Hakuna la ajabu hapo. Ni muendelezo wa viongozi duni tulionao. Utamuona mtu ni profesa kumbe shiiida! Walichojaliwa ni kukosa aibu ya kuzungumza kwenye hadhira.
Acha kupotosha, Rais wa Zanzibar anakuwa mjumbe wa baraza la mawaziri kwa nafasi yake kama rais wa Zanzibar yeye sio sawa na mawaziri wengine wa kisekta ambao ndio wapo chini ya Waziri Mkuu.
Na wakifuata rank anaanza Rais, Makamu wa rais, Rais wa Zanzibar na anayefuata ndio Waziri Mkuu.
Wewe unaona Rais Samia anavyopora vyeo na kuwapa wazanzibar wenzake unaona ni sawa? Acha uchochezi mkuu.Raisi vipi wakati raisi ni mwinyi. Usituchoshe.
Hiyo ilikua issue ya utambuzi na hiyo ni bara. Nothing else.
Mimi sio ccm lakini ni muumini wa ukweli;Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
View attachment 3260960
MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanzania anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.
Samia must go !bi chura mzanzibar afurushwe
this is not fair, CJ kote huko ni ameteleza tuu ulimi!。Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini utafakari.
View attachment 3260960
MAONI YANGU
Rais Samia ameibinafsisha Tanzania anataka kuigeuza kuwa koloni la Zanzibar. Tazama ameamua kuchukua cheo cha umakamu wa Rais na kumpa ndugu yake (Rais Mwinyi) kimyakimya. Huyu mama inatakiwa mwaka huu tumpumzishe uongozi arudi nchini kwao Zanzibar atuachie nchi yetu.
Hajateleza bali anafuata maelekezo kutoka juu mkuu.this is not fair, CJ kote huko ni ameteleza tuu ulimi!。
P
Inawezekanaje akosee mara nyingi kiasi hicho mkuu? Ukiijibu hili swali nitafunguka zaidi.Mimi sio ccm lakini ni muumini wa ukweli;
1.. Iweje umsingizie Samia kuwa ndiye aliyebuni hiyo nafasi ya makamu wa pili ilhali inaonyesha wazi ni makosa ya jaji mkuu tena aliyaanza tangu enzi za Magufuli?
Ukijibu hili swali nitakuuliza la pili
this is not fair, CJ kote huko ni ameteleza tuu ulimi!。
P