Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hapa ndio uone blander aliyoifanya Nyerere ameleta mvurugano tu,Bahati nzuri ni kuwa Watanzania wengi ni mazezeta yatufatilii wala kujali ingekuwa Nchi za Watu wanaojielewa pasingetosha.hivi Makamu wa Rais, na Rais wa Zenji, nani mkubwa? mbona sijaelewa hapo.