Tunajidanganya. Jana nilikutana na mlevi mmoja anahangaika na mabinti. Anasema namuonea huruma Mwenyezi Mungu. Kumbe ni paroko wa parokia fulani hapa Dar Es Salaam.KANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
Do safi mkuu bibilia ni pana sana watu hawasomi aisee yan imegusa kila kitu Hanna kujidai hufahamuMambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
Lesbians and gays ni kama ulemavu mwingine... Hatuwezi kuwatupa walemavu wetu, cha msingi tuendelee kuishinao kwa upendo wakweli. Nao waweza Pona nakuwa raia wemaSijanyanyapaa....ukweli wa Mwenyezi Mungu haujipingi. Uko wazi. Hajaruhusu jinsia moja kufanya mapenzi. Kwanini watu wanapeleka hizo takataka holy places?
Anyway...sihukumu. naona huruma tuLesbians and gays ni kama ulemavu mwingine... Hatuwezi kuwatupa walemavu wetu, cha msingi tuendelee kuishinao kwa upendo wakweli. Nao waweza Pona nakuwa raia wema
kwahiyo na hawa wote hawataenda mbinguni! huu ulimbukeni na ukoloni mamboleo na mwarabu naye atakuambia ufuge ndevu.UKOLONI MTUPU!! KATI YA HAWA!Kumbe ni mambo ya walawi..nikawajua ya watanzania
Kupatwa kwa jua kama sio mwezikwahiyo na hawa wote hawataenda mbinguni! huu ulimbukeni na ukoloni mamboleo na mwarabu naye atakuambia ufuge ndevu.UKOLONI MTUPU!! KATI YA HAWA!
View attachment 619284 View attachment 619285 View attachment 619286
Soma kitabu cha Wakorintho, waraka za Mtume Paulo kuhusu mavazi, kusuka na muonekano kwa ujumla mbele za Mungu.
Ndoa ni jambo Takatifu mbele za Mungu halipaswi kuchukuliwa kwa mizaha, ingalikuwa inaruhusiwa kukaa vyovyote mbele ya Kanisa basi hakukuwa na haja hiyo ndoa iingie Kanisani ili ifungwe wangeweza kufungia hata majumbani kwao.
Kuna code of ethics zinazotawala ktk mambo ya dini.
Jiheshimu acha kashfa. Thibitisha kwa hoja huo uhuni wa kanisaKanitha lenyewe huni..
MATENDO YAKE NI YUPO KAZINI KAMA MCHEKESHAJI.NYIE MNAOJIFANYA WATAKATIFU MNALIWA NA KUGAWA TIGO MNASEMAJE.MNASHANGAA KUFUNGA NDOA AKIWA KANYOA KIDUKU? MBONA HAMSHANGAI MATENDO YAKE YA KIKE ANAYOFANYA, JE YAMERUHUSIWA KATIKA DINI ALIYOTUMIA KUFUNGIA NDOA ?
Kanisa letu harina shida si bia tu hata uzinzi tunafanya, kwanza kanisani tunasanamuKANISA KATOLIKI HATUANGALII MUONEKANO WA NJE HAYO MAMBO TUNAMWACHIA MUNGU.HATA BIA ZITAPIGWA LEO BILA SHIDA NA NYIE MNAOKUNYWA KWA KUJIFICHA KARIBUNI.SISI TUNAKUNYWA NA MAPADRE WETU MEZANI BILA YA KUJIFICHA FICHA.
Usihalalishe dhambi moja kwa dhambi nyingine.MNASHANGAA KUFUNGA NDOA AKIWA KANYOA KIDUKU? MBONA HAMSHANGAI MATENDO YAKE YA KIKE ANAYOFANYA, JE YAMERUHUSIWA KATIKA DINI ALIYOTUMIA KUFUNGIA NDOA ?