Basima Ogenze
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 786
- 881
KAFUGE NDEVU MME WAKO ATAKASIRIKA WA UARABUNIKanisa letu harina shida si bia tu hata uzinzi tunafanya, kwanza kanisani tunasanamu
Sasa kunyoa kiduku ndiyo nini
Acha hoja nyepesimimi mwenyewe rc na sijatoa zaka muda sasa,kwanini niwe na tatizo na Joti ambaye hiyo staili yake ya nywele inamfanya alipe 1/10 kila mwezi?
Kwenye hiyo picha kuna mdada yuma ya joti amefanana na huyo mke wa joti sana
nmekusoma mkuu,lkn yapi maoni yako hapo?Acha hoja nyepesi
Kama yuko sahihi asihukumiwe
Kama ni kosa halimfanyi Mungu kupokea rushwa eti ili aendelee kutoa zaka
Sijafundishwa hivyo na katekista wangu
......umempenda nn mkuu...hahaahKwenye hiyo picha kuna mdada yuma ya joti amefanana na huyo mke wa joti sana
Me simuhukumunmekusoma mkuu,lkn yapi maoni yako hapo?
HaswaaaPale makanisa yanapoendekeza njaa mbele ya madhabahu!!!.. Naamini ingekuwa Kanisa la Kiroho walahi wasingeafiki huo mnyowo uingie ndani ya hekalu la Bwana
Wanadamu hutizama sura lakini mungu wetu hutizama moyo eenhh! Moyo uliosafi utamuina mungu.hata angevaaa hereni mungu anaangalia moyo meeen
Mambo ya walawi yalikuwa yanawahusu wana wa Israel na si watu wa mataifa, ndio maana alikuja Masihi kuukomboa ulimwengu wote wakiwemo watu wa mataifa, hizo sheria zote zilihusu watu wa Israel na si weweSoma kitabu cha Wakorintho, waraka za Mtume Paulo kuhusu mavazi, kusuka na muonekano kwa ujumla mbele za Mungu.
Kuhusu kunyoa vibaya kama mtindo wa denge umekatazwa soma , Mambo ya Walawi 19:27.
Ndoa ni jambo Takatifu mbele za Mungu halipaswi kuchukuliwa kwa mizaha, ingalikuwa inaruhusiwa kukaa vyovyote mbele ya Kanisa basi hakukuwa na haja hiyo ndoa iingie Kanisani ili ifungwe wangeweza kufungia hata majumbani kwao.
Kuna code of ethics zinazotawala ktk mambo ya dini.