Kitendo cha Kanisa kufungisha ndoa ya Joti huku akiwa amenyoa mtindo wa kihuni ni sahihi?

Hivi tukisema tufuate sheria zote walizopewa hao Walawi kuna mtu wa Dunia ya leo angeiona hiyo Paradiso?

Kifo cha Yesu pale msalabani kiliondoa sheria zote hizi.
Yesu...alisema sikuja kutengua hata nukta....maana yalioandikwa kwenye vitabu vyote Yesu anayabariki maana hta yy ni mtume tu...hakuwa na mamlaka ya kutengua tolati.
 
Yesu...alisema sikuja kutengua hata nukta....maana yalioandikwa kwenye vitabu vyote Yesu anayabariki maana hta yy ni mtume tu...hakuwa na mamlaka ya kutengua tolati.

Hakuja kuitengua bali kuitimiliza.

Torati ilihitaji kutimilizwa, ndiyo maana baada ya Yesu hakuna tena sadaka za kuteketeza na sheria nyingine za namna hiyo walizopewa waisrael.
 

We uhuni unaujua?
 
Yesu...alisema sikuja kutengua hata nukta....maana yalioandikwa kwenye vitabu vyote Yesu anayabariki maana hta yy ni mtume tu...hakuwa na mamlaka ya kutengua tolati.

Na kulingana na torati ilikuwa hata ukifanikiwa kushika sheria 999 ukashindwa moja unahesabiwa umekosa yote (Yak. 2:10) kitu ambacho kwa mwanadamu hakiwezekani ndo maana Yesu akaja.
 
Ni ndoa imefungwa sio mnyoo kichwani..
Thats according to you.
Ndoa ni takatifu na iheshimiwe na watu wooote
Ukishasikia Biblia ime categorise kitu chochote kuwa kitakatifu wee tiii na maoni yako mengine peleka kwenye siasa na si vitu vitakatifu
 
weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Kwa Mungu hakuna UsA wala gongolamboto
Akisema no ni no hakuna wa kumpinga wala Mungu hataki maoni yako ili aboreshe sheria an utaratibu wake
 
Na hizi dini zenu mnatuboa kupita maelezo
 
Ndikumana Wa Irene Uwoya alifunga ndoa kama hii Kanisa Katoliki huku amesuka , hapo mnasemaje?
kosa la mmoja halihalalishi kosa la mwingne nyie ndo wale mbona flan kafanya hv
Nywele zinahusiana nini na ndoa ya mtu? Acheni upuuzi wenu sasa hivi
nywele hazina mahusiano na ndoa uko sahihi na ndo maana mleta mada ajauliza hasara ya mnyoo wake kwenye ndoa,,,inawezekana kabsa alivonyoa kusiaffect ndoa yake

je kidini ni sahihi???
.
kasome mambo ya walawi uone mungu alivokaza baadhi ya style za kunyoa denge(pank na vijogoo kwa kisasa) na ndo hiko mleta mada amejarbu kuuliza
 
Mambo mengine ni non issue kanisa linadeal sana na mambo ya kiroho na sidhani kama kuna katazo vitu vingine ni vidogo sana kufuatilia mtu mzima Unakuwa kama hauna kazi

Hakuna shida kuhusu nywele

Mungu anatuangalia mioyoni sio style za nywele

Mbona amependeza Sana kaangalie ktk biblia Kama inakatazwa kisha uje.
nilichogundua nyie hamsomi biblia
kasomeni mambo ya walawi 19:27 muone mungu anavokataza hzo style za kunyoa
 
Waitwao ni wengi...wateule wachache ...na sio wote wanaosema bwana bwana watauona ufalme wa mbingu...usihukumu usije hukumiwa...napita wima [emoji126]
 
Kakosea, alishindwa kuvumilia kwa siku kadhaa bila kiduku? Tatizo kwa mapadre wetu ni hela tu na umaarufu wa mtu, aende mwingine na kiduku kama hicho kwamba anataka kufunga ndoa aone atakavyotolewa nduki
 
Kwani biblia inazungumzia mitindo ya nywele??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…