theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
nimependa suti ya bwana Joti.... aliyovaa leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....hata kumning'iniza Yesu na nepi msalabani ule pia ni uhuni !Natumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===View attachment 619273wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===
Sio dread tu Mkuu wengine wamechora matatooo na kutoboa miili yao na kuweka vipini kibao. Hakuna mnyoo wa kihumi pale wabongo tu, tumezoea kujadili upuuzi.weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Biblia ingekuwa ngumu ivo, hata mtu mmoja asingeenda mbinguni, unasemea ilo denge, ukienda nchi nyingine na tamaduni nyingine Hilo ni traditional yao wala sio denge.View attachment 619444
Mambo ya walawi 19:27