OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi.
Kati ya makocha hao kocha Kaze wa Yanga SC naye ametuma maombi kujaribu habati yake. Wapo pia Mwinyi Zahera na Uchebe.
Kitendo cha huyo kocha wa Yanga kutaja kujiunga na wekundu mabingwa na timu tishio Afrika ni jambo zuri lakini limenishtua sana.