Kitendo cha kocha wa Yanga, Cedric Kaze kuomba ajira Simba SC kimenishtua sana

Kitendo cha kocha wa Yanga, Cedric Kaze kuomba ajira Simba SC kimenishtua sana

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi.

Kati ya makocha hao kocha Kaze wa Yanga SC naye ametuma maombi kujaribu habati yake. Wapo pia Mwinyi Zahera na Uchebe.

Kitendo cha huyo kocha wa Yanga kutaja kujiunga na wekundu mabingwa na timu tishio Afrika ni jambo zuri lakini limenishtua sana.
 
Simba ni timu ya kimataifa.

Simba ni timu rahisi sana kupandisha credit/CV za kocha.

Simba ni timu inayoongozwa kisasa zaidi kwa East Africa.

Simba ni timu yenye sifa ya kuuza wachezaji nje ya nchi na wakafanya vizuri.

Makocha kama Kaze yamkini kabisa kuomba kazi kwenye klabu kubwa ya Simba, yenye mafanikio makubwa kwa nchi za SADC.
 
Back
Top Bottom