Yes gentleman,Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtu nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
Yaani sikutegemea kama CCM haipendwi hivi,msije fikiria huyo Tundu Lissu kumyonga, mtakuja CCM wote kupigwa kiberitiYes gentleman,
it's true chadema g55 ni more 🔥
Anaye kufahamu tunaomba wakupeleke mirembe haraka sababu uweleweki jinsia kwenye ubongo wako ndani ya ccm yako.Yes gentleman,
it's true chadema g55 ni more 🔥
roho ya mauti imeandamana nanyi vizuri mno ndugu zangu, hongereni sana aise. R.I.P. in advance 🐒Yaani sikutegemea kama CCM haipendwi hivi,msije fikiria huyo Tundu Lissu kumyonga mtakuja CCM wote kupigwa kiberiti
Relax tu gentleman,Anaye kufahamu tunaomba wakupeleke mirembe haraka sababu uweleweki jinsia kwenye ubongo wako ndani ya ccm yako.
View attachment 3308694
KAMA KWELI IMEPAISHA BASI MNAPASWA KULISHKRU JESH LA POLISI KWA KUISAIDIA CHADEMA KUPAA..Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtu nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
Huku kupaishwa hakutasaidia kushiriki uchaguzi mwaka huu.Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtu nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
Naona mnajilaumu mpaka huko chumbani wamegawanyika maana joto lake linawaunguza mpaka kufika octoba mtakuwa mikaa mitupuKAMA KWELI IMEPAISHA BASI MNAPASWA KULISHKRU JESH LA POLISI KWA KUISAIDIA CHADEMA KUPAA..
TUNAOMBA MAHAKAMA IENDELEE KUMSHIKILIA IL CDM IPAE ZAIDI..
kwa kweli mtoa post kama kweli mawazo kama yako ndo yanategemewa kuwa nguzo ya kukua cdm, basi lisu ana kazi..
EPUKA SANA KUWASHA BANGI KWA KUTUMIA MSHUMAA WA KANISANI
Kama ccm ndiyo mtegemea police ili kuwa nguzo ya kushinda uchaguzi kwakweli pana kazi.KAMA KWELI IMEPAISHA BASI MNAPASWA KULISHKRU JESH LA POLISI KWA KUISAIDIA CHADEMA KUPAA..
TUNAOMBA MAHAKAMA IENDELEE KUMSHIKILIA IL CDM IPAE ZAIDI..
kwa kweli mtoa post kama kweli mawazo kama yako ndo yanategemewa kuwa nguzo ya kukua cdm, basi lisu ana kazi..
EPUKA SANA KUWASHA BANGI KWA KUTUMIA MSHUMAA WA KANISANI
Siku police Jeshi Tiss wakirudi misingi yao.....ccm kwishaaasKama ccm ndiyo mtegemea police ili kuwa nguzo ya kushinda uchaguzi kwakweli pana kazi.
Kwenye siasa kuna kundi la useful idiots, kwa hapa bongo kundi ilo ni walimu na askari polisiila ccm ina wapumbavu wengi
kuna waajiriwa na hawa askari wanafanya mambo ya kipumbavu kwa kutaka kujipendekeza na kuonekana wanakisaidia chama ila n wapumbavu tu
Polisi, TISS na baadhi ya walinu.Ukweli ni kwamba sio walimu wote huwa wanafanya hiyo kazi ya kuisaidia ccmKwenye siasa kuna kundi la useful idiots, kwa hapa bongo kundi ilo ni walimu na askari polisi
Hili jambo ni hatari, Kuna hatari ya mgawanyiko kwenye jamii Toka ccm, mpaka kwa viongozi wa dini...Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtupu, nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema