Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
The means are the end in the makingThe end justifies the means.
The means are the end in the makingThe end justifies the means.
CHADEMA siko zote imepaa, ipo juu, sema inaongezea umaarufu zaidi,Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtupu, nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema