Yaani wewe akili yako yote imechukuliwa na ccm umebaki kama kopo la chooniroho ya mauti imeandamana nanyi vizuri mno ndugu zangu, hongereni sana aise. R.I.P. in advance 🐒
Kuna Mtu Lord Denning kaleta Poll ya mitandao ya Fb inatisha.Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtupu, nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
ILikuwa lazima Yesu Afe ili tukombolewe.Kweli kila kitu kinatokea kwa sababu, Lissu angeendelea tu na mikutano asingepaa kiasi hiki, kukamatwa kumempaisha sana.....
Walimu hawana uwezo wowote wao ni wahanga pia.Polisi, TISS na baadhi ya walinu.Ukweli ni kwamba sio walimu wote huwa wanafanya hiyo kazi ya kuisaidia ccm
relax gentleman,Yaani wewe akili yako yote imechukuliwa na ccm umebaki kama kopo la chooni
Ndio maana wanamuomba msamaha huko gerezani na jamaa amekataa anataka apandishwe kizimbani ili kieleweke
Kwa hiyo likitokea tetemeko mahali fulani habari zake zikavuma kwenye mitandao na vyombo vya habari mbalimbali hilo tukio hula linapaishwa. Acha ushamba. Hilo ni tukio kama matukio mengineNazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtupu, nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
Mwenzako ananyea ndio. Mke, Watoto na wanafamilia wanahaha kila siku ndugu yao atoke jela, wewe umetoka kwa mama ntilie kula makande ya buku na uji eti "Umaarufu" wa Lissu umeongezeka. Nenda kaiambie na familia ya Kibao kuwa wasijali "Umaarufu" wa baba yao umeongezeka baada ya kufariki. Nafikiri watakupikia biriyani!!Nazani hili halina ushahidi hata kidogo,kuanzia majumbani,makazini kwenye nyumba za Ibada habari ni Tundu Lissu,
Hata kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wanapigisha kura jinsi CCM inavyogalagazwa na Chadema ni balaa,ni ukweli mtupu, nyota ya asubuhi imeanza kuchomoza kwa matumaini ya Chadema
Data za jana Facebook East Afrika Redio zimewavunja moyo ccmCCM imechokwa na kwa kuwa mgombea wao ni mzanzibari mwanamke ndiyo kabisa
Uko sahihiLissu hana makandokando ni Ngumu sana Kushindana na mtu wa ivyo Tume huru ilipatikana kila mtu mwenye ushawishi anaweza kufanya siasa kwa hoja zake akashinda hata kama ni maskini tume huru kila mtu inamuhusu
Tungekuwa huwa tunaonana humu ndani au tungeandika majina yetu ya ukweli labda tungeheshimiana,ingawa najua chama chenu tu cha CCM hakijawa kuwaheshimu wazalendo zaidizaidi mko tayali kuwatete wezi na mafisadi wa hii inchi ili mradi tu wanatokea CCMMwenzako ananyea ndio. Mke, Watoto na wanafamilia wanahaha kila siku ndugu yao atoke jela, wewe umetoka kwa mama ntilie kula makande ya buku na uji eti "Umaarufu" wa Lissu umeongezeka. Nenda kaiambie na familia ya Kibao kuwa wasijali "Umaarufu" wa baba yao umeongezeka baada ya kufariki. Nafikiri watakupikia biriyani!!
Huko anapotaka wampeleke , ndio uwanja wake wa kujidai. Sasa anaenda kupeleka hoja yake kwenye mahakama kabisaNdio maana wanamuomba msamaha huko gerezani na jamaa amekataa anataka apandishwe kizimbani ili kieleweke
Actualy statisticaly umeongezeka, tofauti wkt akiwa hayupo.Mwenzako ananyea ndio. Mke, Watoto na wanafamilia wanahaha kila siku ndugu yao atoke jela, wewe umetoka kwa mama ntilie kula makande ya buku na uji eti "Umaarufu" wa Lissu umeongezeka. Nenda kaiambie na familia ya Kibao kuwa wasijali "Umaarufu" wa baba yao umeongezeka baada ya kufariki. Nafikiri watakupikia biriyani!!
Ahahahahaha!!!Tungekuwa huwa tunaonana humu ndani au tungeandika majina yetu ya ukweli labda tungeheshimiana,ingawa najua chama chenu tu cha CCM hakijawa kuwaheshimu wazalendo zaidizaidi mko tayali kuwatete wezi na mafisadi wa hii inchi ili mradi tu wanatokea CCM
Kingine huku niliko mwenzako hakuna Mama ntilie wala makande,huku zinapatikana super market,shop rite na maburg,mapizza , macocktails na mambo chungu nzima
The end justifies the means.Actualy statisticaly umeongezeka, tofauti wkt akiwa hayupo.
Na kwa record tu, ww na wenzio wengine kuna mahabusu maalum ya watu wazito na publick figure, hawekwi maabu chafu chafu sawa na wengine.
Pili unajua familia yake iko wapi? Lissu anajua anachofanya, na mmejaa kwenye mfumo wake