Kwa hiyo kesi ya ugaidi ya Mbowe ni ya kisiasa?
Hii ndo hoja ya kusema MBOWE SIYO GAIDI .
Mbona umehama na kukimbilia kwenye Mabomu ?
WANAOLETA HIZI VURUGU NI WATANZANIA WOTE AU NI KIKUNDI CHA WAFUASI WA MBOWE?
Katika kitabu cha Mithali ndani ya Biblia, sura ya 14:34 inasema wazi kuwa "Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu kwa watu wote"Tujikumbushe rais alisema wazi wazi vyombo vya sheria viache kubambikia watu kesi!! Can you imagine?? Yaani mkuu wa nchi anajua kwamba raia wake wanabambikiwa kesi!!! Angalia kesi ya Mdude ilivyotupwa, hakimu alisemaje??
..Nimeuliza ni kikao gani cha ccm kimewahi kutawanywa na polisi wenye silaha, na mbwa, kama ilivyotokea kwa Chadema kule Mwanza.
..Au ni wajumbe wa ngapi wa Kamati Kuu ya CCM wamewahi kupigwa na kujeruhiwa na Polisi kama ilivyotokea kwa Chadema.
..Umewahi kusikia kiongozi wa CCM amepelekwa magereza halafu akavuliwa nguo kuwa uchi wa mnyama kama walivyofanyiwa Chadema ktk kesi ile ya kusingiziwa?
..Au ni mara ngapi WANAWAKE wa CCM wamewahi kupigwa na kujeruhiwa na Polisi mpaka kulazwa hospitali?
Onesha ili nami nikose imani na Mahakama...Wewe si unasema hakuna double standards?
..Sasa mimi nakuonyesha kwamba polisi na mahakama mara nyingi huwa hawatendi haki kwa Chadema.
kuchora kuta za watu siyo vurugu?Hakuna vurugu Tanzania? Kufanya mikutano sio vurugu😂 mna jaribu kuweka vitu ambavyo havipo yaani watu wafanye mikutano yao huko kwasababu tu ni upinzani ni vurugu tueleze vurugu iko wapi?
Waulize wanaokwenda magereza mzee!
CCM hawez kuzuiwa mkutano kwa sababu za kiusalama na wakalazimisha
Kwa nini polisi waatumia nguvu?
MWISHO SWALA NI KWA NINI MNAKAZANIA MBOWE SI GAIDI WAKATI KESI IPO MAHAKAMANI?
..Na CCM kwanini mnakazania kwamba Mbowe ni gaidi wakati kesi iko mahakamani?
..Uzoefu wa kesi nyingi za kubambikiwa ndio zinazowafanya wana CDM waamini kuwa Mbowe amebambikiwa kesi ya ugaidi.
Waulize wanaokwenda magereza mzee!
CCM hawez kuzuiwa mkutano kwa sababu za kiusalama na wakalazimisha
Kwa nini polisi waatumia nguvu?
MWISHO SWALA NI KWA NINI MNAKAZANIA MBOWE SI GAIDI WAKATI KESI IPO MAHAKAMANI?
Kwa sababu wakiombwa kibali na wakinyimwa Hawalalamiki kwenye Mitandao kama CDM..kwanini wanaozuiwa ni chadema na wapinzani, lakini CCM hawazuiwi?
..Mfumo wa vyama vingi upo kwa miaka 26 na sijawahi kuona wala kusikia mkutano wa CCM umezuiwa kwasababu zozote zile.
Mmmejuaje za kubambikwa?
kwenye kesi kuna mawili , HATIA au HURU.
Wengi tu wameachiwa huru si wanachadema peke yao. Hata watanzania wengi wanaachiwa huru kila siku. Hata huko Marekani ipo hivyo. Msijione special.
Walaumuni Polisi, jambo likiwa mahakamani mtulie na kufuata taratibu za kisheria siyo Vurugu
Kwa sababu wakiombwa kibali na wakinyimwa Hawalalamiki kwenye Mitandao kama CDM
Kina nani hao, unawajua au unasema kwa hisia...
Kesi ya kusingiziwa , unamaanisha mahakama inawahukumu huku wamesingiziwa?
Siyo mahakama ilimuachia huru MDUDE CHADEMA NA KUSEMA ALIKUWA FABRICATED NA JINAI ?
Au leo mnakosa imani na mahakama tena?
Mkuu upo vizuri sana, ili chadema kiweze kujijengea sifa nzuri na kionekane chama Cha kufuata Sheria lazima tuhuma hizi kikazishinde mahakamani na sio kutaka mtu aachiwe kwa maandamano wakati polisi wamesema mkiti wao ana kesi ya Kujibu.Sijaongelea Criminal Procedures mkuu.
Nimebaki na kesi Mahakamani. Sijataka kudeal na PGO walah!
Utaratibu kama haukufuatwa wakati wa ukamataji, ni "ni sehemu ya Reasonable Doubts" zitamsaidia yeye wakati wa utetezi.
Tumefika hapa wapi?.. Mtuhumiwa wa ugaidi anaweza kuwa yeyote yaani Kiongozi wa dini, Waziri, Mfanyabiashara, Mwanasiasa na yeyote yule. NO EXCUSES. Lakini je CDM mnapaswa kuipangia polisi nani wamtuhumu na nani wasimtuhumu?
Time of arrest nayo inaondoa Criminality ya Mbowe?. Kama inaondoa basi iende mahakamani mkuu.
Kupekuliwa upo sawa, wakikokosea kumpekua si ushahidi utakuwa batili, shida iko wap?
Q see below
Nachopinga ni hizi Stunts na Mmemes za "SIYOGAIDI" na kuchorachora Mali za watu.
NI UTOTO, UJINGA NA UPUMBAVU
View attachment 1900333
Halafu nyie watu akili zenu mnaficha matakoni haya huyo mama yenu alisema kuna kesi za kubambikiziwa
Mkuu upo vizuri sana, ili chadema kiweze kujijengea sifa nzuri na kionekane chama Cha kufuata Sheria lazima tuhuma hizi kikazishinde mahakamani na sio kutaka mtu aachiwe kwa maandamano wakati polisi wamesema mkiti wao ana kesi ya Kujibu.