Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
serikali ina uwezo wa kumnyima kibali cha kazi raia yoyote wa nje. uwezo huo inao.Hebu nisaidieni...
Katika DIPLOMASIA Serikali zina uwezo wa KUMKATAA balozi mkaazi wa nchi nyingine kwa SABABU MBALIMBALI....
Je Serikali haina MANDATE kisheria kumnyima MTU VIBALI vya kazi ima kwa mtumishi mgeni wa kawaida hadi wakuu wa MAKAMPUNI makubwa?!!!
Sawasawa....serikali ina uwezo wa kumnyima kibali cha kazi raia yoyote wa nje. uwezo huo inao.
Yaani Magufuli 5 tena....Nilibahatika kufanya kazi sehemu flani ikiongozwa na Mkenya,hakuna rangi Watanzania hawajaona. (Mwendo wa kufire and hire)
Jambo la kwanza anaangalia fursa ya kujaza Wakenya (Wa kabila lake) kwenye vacancy zote zitakazo jitokeza za kazi,kihalali na kimagumashi.
Nisiseme sana.Ila naunga mkono Uhamiaji.
Suali zuri Sana....Kuna mtz yeyote ambaye Ni mkurugenzi wa private entity huko kenya
Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi...
Kamundu unalalamika bure, nenda katafute kujua taratibu za uwekezaji kwa wasio wazawa, ajira zao na nini wanatakiwa kufanya na kwa muda gani.Cha kushangaza ukiwa Mchina hapa ukisema wewe ni fundi seremala unapewa kibali. Wachina ni mpaka pale mradi uwe mbaya sana ndiyo utasikia kibali kikiisha hawataongeza muda lakini Wachina wanapewa vibali kama pipi wakati kazi zao na utaalamu wao kuna Watanzania kibao wanao. Hivyo ukweli hapa kuna jambo la kibaguzi. Watu Watanzania tunapenda sana kujiangalia badala ya kuangalia matokeo.
Kwani kenya kuna wakurugezi wangapi Watanzania? Wakenya ni fisi wapole wamejaa zarau na upumbafu tu ndio maana wananyimwa vibali."Tanzania is a sovereign state"[emoji144]
Hiki kibwagizo mpk kinachosha.
Namsaidia mleta mada.
Reasons zinazowekwa public kukatalia wakenya ni kua kwani sisi hatuna mtu wa kujaza hizi positions mpk aje mkenya?
Then hizo hizo position tunakuja skia kapewa mtu mwingine mgeni.
NB: sitakujibu hata ukiijibu hii post sema nita like post yako. Maana nimehisi ni mmoja wa wale mtu akisema anything against mawazo ya wale anatazamwa kwa jicho la tatu wakati kiuhalisia facts ndio mpango mzima especially Karne hii.
Wakenya hawapo juu yetu, sema wewe si mjuzi wa mambo yanayoendelea duaniani ikiwamo kenya. Wakenya wengi ni misheni town tu kijanaFacts.
Hatuwezi kuwapita wakenya ambao obviously wako juu yetu kwa kuwanyima fursa hapa kwetu.
kuna wakati tulidhani wakenya ni ndugu na jirani mwema, lakini siyo, sasa tuseme inatosha.Mtachoka ninyi wakenya mnaodhani kuwa tanzania ni shamba la bibi. Sisi wenye nchi hatutachoka kuwaambia mpaka mtakapoelewa.