Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

Naomba niurudishe huu uzi kwenu mana kuna watu Ni wepesi wa kula matapishi yao
 
hujaelewa, kampuni ya VODACOM ndio ilimchagua mkenya awe mkurugenzi wa VODACOM TANZANIA , Serikali ya tanzania ikamnyima kibali, kampuni ya vodacom ikamchagua tena mmisri awe mkurugenzi wa vodacom tanzania, serikali ikampa kibali, hiyo ndio hoja ya mleta mada
Mmisri alicheua mabilioni mahakamani kama unakumbuka alipigwa figisu mpaka akawa chanzo cha mapato., Ila mwendazake alikuwa na fitina sana hasa linapokuja suala la hela.
 
Back
Top Bottom