Reykijaviki
JF-Expert Member
- Aug 25, 2020
- 426
- 653
Hapa ndio ninapowakubaligi Uhamiaji sometime wana ujinga mwingi, sometime wanakuwa wafia nchi safi sana hiyo nafasi apewe mdengereko mtani wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kweli ni troll, Pepsi ni kiwanda cha wahindi au unaumwa diarrhea?Wale wahindi ni watanzania wamezaliwa hapa pili ni Viwanda vyao
Nahisi shida yetu sijui ni kwa Wakenya tuWakati msouth akiwa MD hapo,Tz haikua na watu wenye sifa za kushika nafasi hiyo?
Argument yako ni ya kitoto sana. Unachosema ni kwamba akikosekana mtanzania basi lazima apewe mkenya, akipewa mmisri, mnyarwanda, mganda, ni nongwa! Huo ndio utoto ninaoupinga. Tanzania ina uhuru wa kumpa mtu kutoka nchi yoyote. Nyie pambaneni na hali zenu, whining won't help you.Suala lako kubisha tu au huna hoja?
1. Kwanini kama watanzania wapo wenye uwezo hawapewi?
2. Nini maana ya watanzania wenye uwezo huo wapo? Sasa huyo mmisri wa Vodacom ndio mtanzania?
3. Kweli hiyo sababu ndio root cause au kisingizio? Tuone basi wanapewa watanzania lakini sio wageni or else ni chuki zisizo na msingi.
Mbona na Kenya inaendelea nayo diversify ipo kubwa ?Nikiangalia Marekani walivo na diversity ya watu jinsi nchi yao ilivoendelea nabaki nasikitika tu
Issue hapa siyo mchangiaji, issue ni hii tabia ya wakenya kujiona wao wanastahili zaidi kuliko watu wengine. Kuna wakenya wengi tu wanafanya kazi nchini kwenye sekta mbali mbali; ikitokea mmoja anakosa nafasi fulani, basi wanakimbia kuja jukwaani ku-whine na kulalamika kana kwamba wao wanastahili zaidi kuliko watu wengine. Waache huo utoto.Kuna wakati mtu una kasirika kwa sababu tu mchangiaji wa mada iliyomezani anajifanya hamnazo kwa makusudi
Mimi nimemuelewa vema mleta mada kuwa kama tunaamua kuwakataa wageni kufanya kazi Fulani kazi hizo wapewe wazawa
Kwa mantiki yake ukienda mbali ni kuwa Kenya na Misri Kenya ni jirani yetu na mwanajumuia mwenzetu wa EAC na kwa vyovyote vile na haki kuliko mmisri vinginevyo kuwe na kitokuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa political game changer, umewah kusikia mTz amekuwa mkurugenz ama kushika nafasi za juu kwenye mashirika ya kenya?
Ww umeona tukio moja tu la nafasi, umewah kufuatilia njama za kenya kuhujumu ama kudhoofisha mashirika ya Tz?Je uko Misri au China kuna Watanzania?
Tuna maslahi mapana na Egypt, kwa sasa tunajenga Stieglers George pamoja.Ishu ni kwamba wananyimwa wa Kenya kwa kusema hata watanzania wapo wenye sifa matokeo yke hawapewi watanzania wanapewa watu wamataifa mengine tena ya mbali.
Unajua nani mwenye hisa kubwa VODACOM basi ujue ndio mwenye kaulihujaelewa, kampuni ya VODACOM ndio ilimchagua mkenya awe mkurugenzi wa VODACOM TANZANIA , Serikali ya tanzania ikamnyima kibali, kampuni ya vodacom ikamchagua tena mmisri awe mkurugenzi wa vodacom tanzania, serikali ikampa kibali, hiyo ndio hoja ya mleta mada