Wanini Wakenya wakataliwe?
Wakenya ni wahujumu sana. Angalia waliochoifanya Serengeti Breweries miaka ile. Baada ya kuinunua SBL kupitia EABL wale jamaa wakaanza kujaza watu wao pale Chang'ombe.
Mission yao ya kwanza ikawa kuifanya bia ya Tusker iwe juu kwenye soko la Tanzania kama ilivyo kwao. Kumbuka kampuni inaitwa Serengeti Breweries na bia yao iloyobeba jina ni Serengeti. Mission ikaanza, ikatangazwa sana Tusker, wakatengeza magazebo mengi kwenye bars (yale mavibanda kama maturubai), wakagawa viti na meza vingi tusker branded, coolers (mafriji) kila kona ya bars. Billboards mitaani ni tusker......kilichotokea. Market response ya Tusker haikuwa positive na watu wakaanza kuisahau bia ya Serengeti, as the result, market share ya SBL ikaporomoka kwa kiasi kikubwa sana.
Kulikua na haja gani ya kuifanya Tusker ndio bia yao namba 1 hapa Tz wakati tayari kuna bia mbeba jina la kampuni? Au ingefika kipindi tungekuwa tunaagiza Tusker Kenya ili wao wapate exports nyingi? Walipoona mporomoko wa kuzidi.....wakarudisha Serengeti tena. Lakini nawaambia, Wakenya sio watu wazuri hata kidogo.....
Mi nilikua nachukia tangu nipo mdogo, naona home kuna vyombo ya plastic vimeandikwa made in Kenya!! Ina maana Tz hatuna kiwanda cha kutengeneza haya maplastic! Baadae nikawa naona chumvi (table salt) fulani eti inatoka Mombasa Kenya....bulshit. Mi nashukuru yule mhindi wa Neel chumvi toka Mkuranga, kaja kateka soko sasa hivi. Hata zile sabuni za Jamaa........Mo sijui anashindwa nini kucopy na kupaste tumalize shughuli.
Ifike mahali tuuziane vitu vyenye tija, sio chumvi na sahani ya plastic eti nazo ni imports toka Kenya.
Wakenya sio watu.