mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Watanzania wenyewe tunabaguana, angalia idadi ya wabunge wa upinzani bungeni.
Wamekataa kwenda wenyewe,hapa hamna wa kulaumiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wenyewe tunabaguana, angalia idadi ya wabunge wa upinzani bungeni.
Wajuaji mno. Kublock ovyo account ya xa wateja. Mwisho mambo yameharibika. Kelele na kingereza kingi ila sifuri. Sisi waswahili tunajuana biashara zetu. Unaelekezwa unajifanya me nafanya hivi matokeo yake lawama. Watu salary zinacheleweshwa kama nnLooh kumbee eee?!!
Hayaa ndugu yangu Wairimu Mathenge...
Wewe Kiranja Wesika.....
Nawe Kariuki Lemono....
Njoo hapa nawe Kipkoetch John....
Njooni mujibu HOJA HII[emoji1787]
Hajiulizi kwanini wachina waliambiwa wawauzie TikTok wamarekani?Think deep bro,usikurupuke,there is more than what meets the eyes,
Ebu fikiria,mchina apate nafasi ya Ukurugenzi katika Microsoft,google,general motors,MacDonald's,makampuni makubwa ya USA!
Wamekataa kwenda kwasababu hawatambui matokeo ya uchaguzi.wamekataa kwenda wenyewe,hapa hamna wa kulaumiwa.
Wamekataa kwenda kwasababu hawatambui matokeo ya uchaguzi.
Tunahitaji uchaguzi ulio huru na wa haki.basi wakae kwa kutulia.
Wakenya wako juu yako kwenye nini?Facts.
Hatuwezi kuwapita wakenya ambao obviously wako juu yetu kwa kuwanyima fursa hapa kwetu.
Tunahitaji uchaguzi ulio huru na wa haki.
Haki huchelewa lakini hufika.too late for now,mlitakiwa mgome kabla mkidai tume huru.mlichokifanya ni kumhalalishia jiwe kushinda.
Ninachojiuliza ni hiki:hujaelewa, kampuni ya VODACOM ndio ilimchagua mkenya awe mkurugenzi wa VODACOM TANZANIA , Serikali ya tanzania ikamnyima kibali, kampuni ya vodacom ikamchagua tena mmisri awe mkurugenzi wa vodacom tanzania, serikali ikampa kibali, hiyo ndio hoja ya mleta mada
Sio wakenya wala wamisri ambao ni Bora kuliko wengine ila kwa hii mada hapa juuUna maana gani? Una maana wakenya ni bora kuliko wamisri? Una maana ni lazima wakenya wawe considered kwanza kabla ya watu wa mataifa mengine? Una maana hatuna uhuru wa kumpa mtu mwingine kabla ya wakenya? Huu ni ujinga wa aina fulani. Tanzania is a sovereign state.
Nashukuru uneliona hili mkuu. Kwetu kichefuchefu. Yaan kampun ninkama imekufaNilibahatika kufanya kazi sehemu flani ikiongozwa na Mkenya,hakuna rangi Watanzania hawajaona. (Mwendo wa kufire and hire)
Jambo la kwanza anaangalia fursa ya kujaza Wakenya (Wa kabila lake) kwenye vacancy zote zitakazo jitokeza za kazi,kihalali na kimagumashi.
Nisiseme sana.Ila naunga mkono Uhamiaji.
Kwetu wako watatu walishafukuzwa[emoji1787]I hate kenyans kwakwel for no reason, niliwahi kufanya kazi na kampuni moja na mkenya mkikuyu huyo alikuwa boss wng yule mzee hashauriki yey ndio anajiona anaakili kupita wote dharau, ubaguzi si unajua tena wabongo walivyo tukishakujua hutupi tabu, tukawa tunamwangalia tuu akikosea tunakula buyu aliingiza kampuni kweny hasara haijawahi kutokea mpaka alifukuzwa akaletwa mganda mbona mambo yalienda sawa tena alikuwa friendly kinoma.
Mpaka anaondoka muda wake umeisha wafanya kaz tulikuwa roho zinatuuma
Mkuu huyo Mmisri tayari alishakuwepo pale Voda na alikuwa anakaimu hiyo nafasi. Ni rahisi sana kwa anayekaimu nafasi kupewa kuliko aje mtu mpya, isitoshe huyo Mmisri tayari alishakuwa na vibaliNinachojiuliza ni hiki:
Kama Vodacom walimchagua mkenya na serikali ikakataa kutoa kibali kwa madai kwamba hata watanzania wapo wanaoweza kushika nafasi hiyo, iweje Vodacom wakamtafuta mtu mwingine kutoka nje tena (Misri) badala ya kumtafuta hapo hapo kwetu Tanzania na bado serikali ikampa kibali? Ina maana hiyo sababu iliyotolewa na serikali ya kumnyima kibali mkenya ilikuwa ni geresha tu kwa umma.
We nawe uwe unaelewa kwa haraka, ushaambiwa wakenya matapeli, wezi, wahujumu uchumi wanafki na taifa ambalo kila siku lina kazi ya kuichafulia TZ huko nje kwa manufaa yao binafsi. Kiufupi wanaroho mbayaaaa, wabaguzi hata wenyewe kwa wenyewe seuze kwetu sisi wabongo? Hawa ndo kila kitu kizuri cha TZ wanajitangazia ni cha kwao huko duniani, yaani wanyimwe milele.Ninachojiuliza ni hiki:
Kama Vodacom walimchagua mkenya na serikali ikakataa kutoa kibali kwa madai kwamba hata watanzania wapo wanaoweza kushika nafasi hiyo, iweje Vodacom wakamtafuta mtu mwingine kutoka nje tena (Misri) badala ya kumtafuta hapo hapo kwetu Tanzania na bado serikali ikampa kibali? Ina maana hiyo sababu iliyotolewa na serikali ya kumnyima kibali mkenya ilikuwa ni geresha tu kwa umma.