Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hao wakenya si ndio wanaongoza kwa kubaguana kikabila,hiyo dhambi ndio inayowatesaSumu ya ubaguzi ni mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakenya si ndio wanaongoza kwa kubaguana kikabila,hiyo dhambi ndio inayowatesaSumu ya ubaguzi ni mbaya sana
Mkuu utakuta huyu aliyeleta hii habari ni Mkenya,na Wakenya ni wabinafsi sana , sijui analia nini wakati tuna Wakenya kibao hapa Tanzania na wengine wana vikampuni vyao vya mikobani,analia sababu anajua kwa ubinfsi wao vile vitenda vyote vingekuwa vyao, Ni afadhari mara mia huyo Mmisiri kuliko Wakenya,Una maana gani? Una maana wakenya ni bora kuliko wamisri? Una maana ni lazima wakenya wawe considered kwanza kabla ya watu wa mataifa mengine? Una maana hatuna uhuru wa kumpa mtu mwingine kabla ya wakenya? Huu ni ujinga wa aina fulani. Tanzania is a sovereign state.
Hujuitabia za wakenya hivyo acha watu wafanye kazi zao na wewe fanya kazi yakoTanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi.
Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa Kenya alikataliwa kwa sababu hizohizo.
Cha ajabu mfano Voda hiyo nafasi hajapewa Mtanzania badala yake idara hiyo hiyo ya uhamiaji imempa kibali Hisham Hendi ambaye katokea Misri.
Sasa Tanzania ina vigezo gani vya kutoa vibali? Hii inashangaza sana. Lakini ukienda kwenye viwanda vingi kuna wahindi wengi tu wana vibali ambavyo wenzetu wa EAC hatuwezi kuwapa.
Hii inaonyesha sio sera bali ni chuki binafsi kama tunanyima tunyime wote lakini isifikie mahali kujidharau wenyewe maana kumuona mtu kutoka Misri ni bora kuliko Mkenya ni sawa na sisi kujibagua wenyewe.
Hii haiko sawa maana haitasaidia Watanzania kujiamini wala kusaidia kampuni za nje kuamini watu weusi kama wenyewe tunajibagua bila sababu za msingi.
Mbona ame-build case yake vizuri tu?? Hii Tanzania is a sovereign state imeingiaje kwenye hii hoja??Unamaana gani? Una maana wakenya ni bora kuliko wamisri? Una maana ni lazima wakenya wawe considered kwanza kabla ya watu wa mataifa mengine? Una maana hatuna uhuru wa kumpa mtu mwingine kabla ya wakenya? Huu ni ujinga wa aina fulani. Tanzania is a sovereign state.
Acha pumba zako.Wale wahindi ni watanzania wamezaliwa hapa pili ni Viwanda vyao
Wahindi, wachina na waarabu wamejazana hapa huku ndugu zetu tukiwakataliaTanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi.
Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa Kenya alikataliwa kwa sababu hizohizo.
Cha ajabu mfano Voda hiyo nafasi hajapewa Mtanzania badala yake idara hiyo hiyo ya uhamiaji imempa kibali Hisham Hendi ambaye katokea Misri.
Sasa Tanzania ina vigezo gani vya kutoa vibali? Hii inashangaza sana. Lakini ukienda kwenye viwanda vingi kuna wahindi wengi tu wana vibali ambavyo wenzetu wa EAC hatuwezi kuwapa.
Hii inaonyesha sio sera bali ni chuki binafsi kama tunanyima tunyime wote lakini isifikie mahali kujidharau wenyewe maana kumuona mtu kutoka Misri ni bora kuliko Mkenya ni sawa na sisi kujibagua wenyewe.
Hii haiko sawa maana haitasaidia Watanzania kujiamini wala kusaidia kampuni za nje kuamini watu weusi kama wenyewe tunajibagua bila sababu za msingi.
Mkuu ni visasi vya kuachwa nyuma kimaendeleohujaelewa, kampuni ya VODACOM ndio ilimchagua mkenya awe mkurugenzi wa VODACOM TANZANIA , Serikali ya tanzania ikamnyima kibali, kampuni ya vodacom ikamchagua tena mmisri awe mkurugenzi wa vodacom tanzania, serikali ikampa kibali, hiyo ndio hoja ya mleta mada
Hatuhitaji majasusi na wahujumu wa uchumi wa nchi yetu. Bado somo la pression air na meneja wake mkenya tunalo kichwani. Wenye kufikiri na kuona kwa undani tulielewa jinsi pression air na meneja wake walihusika kuhujumu air tanzania.Tanzania tumekuwa na tabia ya kuwakatalia Wakenya kwenye nafasi za juu vibali vya kazi huku tukiwapa wale wengine ambao sio Wakenya bila sababu ya Msingi.
Nimesikia Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kakataliwa kibali wakidai kuna Watanzania wenye uwezo lakini vilevile Mkurugenzi wa Voda naye wa Kenya alikataliwa kwa sababu hizohizo.
Cha ajabu mfano Voda hiyo nafasi hajapewa Mtanzania badala yake idara hiyo hiyo ya uhamiaji imempa kibali Hisham Hendi ambaye katokea Misri.
Sasa Tanzania ina vigezo gani vya kutoa vibali? Hii inashangaza sana. Lakini ukienda kwenye viwanda vingi kuna wahindi wengi tu wana vibali ambavyo wenzetu wa EAC hatuwezi kuwapa.
Hii inaonyesha sio sera bali ni chuki binafsi kama tunanyima tunyime wote lakini isifikie mahali kujidharau wenyewe maana kumuona mtu kutoka Misri ni bora kuliko Mkenya ni sawa na sisi kujibagua wenyewe.
Hii haiko sawa maana haitasaidia Watanzania kujiamini wala kusaidia kampuni za nje kuamini watu weusi kama wenyewe tunajibagua bila sababu za msingi.
Mbona huko Rwanda na Uganda pia wapo .... Elimu ya Kenya iko juu kulinganisha na nchi zote za Africa Mashariki!!Kama hao Wakenya wana uwezo mkubwa sana katika utendaji waende wakaajiriwe Uganda, Rwanda n.k
Afrika mashariki ni kubwa sana, mbonaTanzania huwahailalamiki kicha ya wabongo kunyimwa fursa huko Kenya.
Inaelekea kuna bifu kubwa sana kati ya hizi mamlaka mbili ambapo sisi raia hatuzijui. Hapa Tz kuna makampuni mengi sana wakurugenzi na watendaji ni wageni na tena wanabadilishana wao kwa wao for years. Kwanini shida inakuka kwa wakenya tu. Labda usalama wa taifa wana taarifa mbaya na hao watu.Ishu ni kwamba wananyimwa wa Kenya kwa kusema hata watanzania wapo wenye sifa matokeo yke hawapewi watanzania wanapewa watu wamataifa mengine tena ya mbali.
Kwa hiyo shamba lako kuliwa na Wa-Misri na Wahindi sawa, lakini sio Wakenya?Mtachoka ninyi wakenya mnaodhani kuwa tanzania ni shamba la bibi. Sisi wenye nchi hatutachoka kuwaambia mpaka mtakapoelewa.
Huyo anajibainisha ni raia mTanzania mhamiaji toka Kenya. Inaonyesha uKenya haukumtoka, bado anapenda sana nchi yake ya asili.Unamaana gani? Una maana wakenya ni bora kuliko wamisri? Una maana ni lazima wakenya wawe considered kwanza kabla ya watu wa mataifa mengine? Una maana hatuna uhuru wa kumpa mtu mwingine kabla ya wakenya? Huu ni ujinga wa aina fulani. Tanzania is a sovereign state.
Soma alichoandika vizuri ueleweUnamaana gani? Una maana wakenya ni bora kuliko wamisri? Una maana ni lazima wakenya wawe considered kwanza kabla ya watu wa mataifa mengine? Una maana hatuna uhuru wa kumpa mtu mwingine kabla ya wakenya? Huu ni ujinga wa aina fulani. Tanzania is a sovereign state.
Nini maana ya kuwa na jumuiya ya afrika mashariki?!?!
Uzuri wa security screening sio lazima wanaokunyima kibali wakupe sababu za kwa nini wanakunyima.hujaelewa, kampuni ya VODACOM ndio ilimchagua mkenya awe mkurugenzi wa VODACOM TANZANIA , Serikali ya tanzania ikamnyima kibali, kampuni ya vodacom ikamchagua tena mmisri awe mkurugenzi wa vodacom tanzania, serikali ikampa kibali, hiyo ndio hoja ya mleta mada