Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Watu hawapigi kura kwa mtandao mzee; acha kutumia mtandao kueneza uwongo. Kura ziko kwenye ballot box, na mpaka sasa hivi CCM imeshajizolea takriban 80% ya kura zote. CHADEMA wanaodhani kuwa kura ziko kwenye mtandaoa wanajidanganya sana. Chama kisichokuwa na viongozi wa matawi halafu bado kinategemea kupata kura ni chama cha hovyo kabisa. Kwenye political science kuna kitu kinaitwa grassroots, ambazo chadema hawana kabisa, ziliondoka na Dr.Slaa; kwa hiyo subirini mavuno yake.
 
Usiwasemee wengine, wenzio so mashoga, na kamwe hawawezi kumpigia shiga! Wao wanamjya aliyewaletea umeme mpaka vijijini! Na lami mpaka mtaani! JPM ndio mpango mzima!
ndo walishampigia kura sasa wendelea kuwa shoga upakuliwe mtaro. Lisu raisi kuanzia saa1 usiku
 
Huyu jamaa sidhani kama atakuwa na nianzuri na tz yaani hadi Internet kaifungia vipi kuhusu uhai wako mkuu si muda wowote akijisikia ataufungia pia
Hivi unatumia Nini kuwaza🤔🤔🤔!?
Mitandao si ndio huu unaotumia kupost upupu! Mitandao gani umezimwa!
 
ndo walishampigia kura sasa wendelea kuwa shoga upakuliwe mtaro. Lisu raisi kuanzia saa1 usiku
Utakapo Amna tutaongea...siongei na muota ndoto! Kama unatamani Sana kupakuliwa utaondoka nae kesho kuelekea ubelgiji!
 
Utakapo Amna tutaongea...siongei na muota ndoto! Kama unatamani Sana kupakuliwa utaondoka nae kesho kuelekea ubelgiji!
we shoga tuliza mshono kajiandae kwenda naye chato shoga mwenzako baada ya saa12 jioni hana lolote anategemea huruma za nec wananchi wamemkataa kwenye box
 
we shoga tuliza mshono kajiandae kwenda naye chato shoga mwenzako baada ya saa12 jioni hana lolote anategemea huruma za nec wananchi wamemkataa kwenye box
Shoga anapigia kura shoga! Kitundu na wanaompigia kura mnajijua acha kubwabwaja! Vidume hatuendekezi ujuha huo, warembo tunao wa kuitisha! Ww na mashoga wenzio mtasubiri Sana! JPM ndio mpango mzima 5tena!
 
CCM imeipeleka nchi hii katika hali mbaya sana and kuweka wananchi kwenye giza kwa kusingizia amani. Vyombo vya habari havina ueledi tena na vitabaki kueneza propaganda za CCM, Mawazo and maoni ya watu pamoja na vijana yamekandamizwa kwahiyo tutakuwa taifa la uchwara kwa vizazi vinavyokuja, watu wataendelea kunyanyaswa na kupigwa. Kwa matukio hayo nchi ndio itaendelea kutengwa kimataifa na hali ya uchumi itaanza kudorora. Raisi ataekuja baada ya JPM kazi yake itakuwa kulipa mikopo tu.
 
Acha hizo, hili taifa limeongizwa na CCM chini ya marais mbLimbali tatizo ni pale mnapomhukumu JPM kea makosa ya Mwinyi, JK, na mkapa! Hiki chuma JPM ndio habari ya mjini, kitundu na mashoga wataendelea isoma namba!
YUPO MUNGU MTETEZI WA WANYONGE. HATA KAMA WALIKUSHUSHA NA KUKUWEKA MWISHO KTK ORODHA. MUNGU ANAWEZA KUKUWEKA WA KWANZA KTK MATOKEO. YUPO MUNGU MTETEZI WA WANYONGE
 
hapo kwenye App store ndo nimekwazika kulicho chochote jaman hivi kweli mtu unaenda kufungiaa app store

Wame restrict App Store kwa sababu wanajua ndio site inayo kuwezesha ku-down free VPN apps - tunaiga mbinu za Uchinà na Korea Kaskazini pamoja utawala wa Stalin!

If my memories serves me right katika chaguzi za 2015 hapakuwepo na mambo ya ajabu kama haya - Uongozi wa awamu ya NNE haukuwahi ku-muzzle media hata siku moja, sasa kwa nini chaguzi za safari hii ndio pawepo na ulazima wa ku-restrict raia wasipate taarifa kutoka kwenye alternative sources, kwani mnafikiri Watanzania hawana akili za kuchambua baina ya pumba mchele?

Zoezi la kufungia social media hata kama ni temporarily limetia DOA Taifa letu linaonekana hali heshimu haki za binadamu - maadui wetu wanaweza kutumia loop hole hii kutuharibia sifa kimataifa, sasa tunafahidika nini kwa kuwapatia maadui zetu ammunition za Ku demonise Taifa letu?
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.

Hizi ni characteristics za hovyo kabisa za Serikali hixi za Kidikteta !
Nchi ina Population ya 55+millions.
Wanaopiga kura ni 29 millions
wewe unaamua KUZIMA MITANDAO YA KIJAMII KUWADHULUMU HATA WALE WASIOHUSIKA. Mtu hajajiandikisha kupiga kura amepumzika zake nyumbani anataka kuchati na ndugu/jamaa zake walioko Ulaya n.k. leo hawezi!

Hizi ni akili za MATOPE kabisa za kina Polepole, Bushiri na Magufuli wao kutaka kuzuia Watz wasipashane Habari za kinachoendelea kwenye Uchaguzi huu!!
SHIME WATZ WAPIGA KURA SIKU YA KUFA NYANI MITI HUTELEZA. CCM WAHUKUMIWE KWA UPUUZI HUU WA KUZIMA MITANDAO YA KIJAMII! Pumbaf zao.
 
Nimeshamkatia tiketi ya kumrudisha Magufuli kwao Chato kwa Kura yangu labda Tume ya uchafuzi iamue kumuweka mjini
 
Back
Top Bottom