Jambazi ni magufuri anayeongoza squad za mauaUkimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Wewe ni mmoja ya wale wanaoamini "wazungu" wanatupandikizia mbegu ya chuki, kutugawa ili watutawale? Kwa nini sisi watu weusi tu ndio tunawezwa kwa ujinga huu wa "kugawanywa"?kuna muda tunatakiwa tufikirie siwezi ongelea upande wa mtu ila kwa tunavyodhani je kuna sehemu utaipenda na itakupenda kama nyumbani kweli?
Unajua it needs to reach a time supremacy not to exceed humanity you can do anything yaani na ndio tatizo kubwa duniani kwa sasa supremacy is really hight than humanity people can decide and make anything for it karatasi zinapotezea ndugu zangu
Huwezi kuwa tajiri kama hauli,haupumui na huna sehemu salama na moyo una ridhika kulala tupende nchi yetu Africa ndio sehemu pekee utakayo kuwa na amani nchi za nnje hakuna kipya mtu uta accumulate stress nothing new about it
what's the meaning of life ukishatoka huko nnje uone nchi imebaki magofu na uongozi haupo eeeh
the way we are Africans isn't our leaders faults wanakuta hiyo mifumo tunatakiwa tuelewe sio misaada inayotolewa ndio unadhani wanatupenda sanaa noo ni kwa faida yao leo atatoa msaada wa barabara ya lami kutoka geita hata hadi nyerere airport for his benefit na viongozi wana hangaika sema propaganda ni mbaya
unadhani kiongozi target yake ni kuwa na hela na kutumia madaraka vibaya juu ya Africa do you think that?
fikiria mtu ana kutengenezea tatizo alafu anaaminishwa mwingine ndio ana sababisha then anarudi kusolve tatizo kwa vita really?
the whole world there's is no peacefully democracy hata uende wapi people are there for their national interest wazungu huwa wanatanguliza taifa hawawezi leta vita ya wao kwao kirahisii never utaona Africa tuu
kwasababu ndio wamepandikiza hiyo mbegu ya kutugawanya na kututawala
je unadhani mtu ukienda nnje utatumika kama nani kama si mpinzani kwa Africa
they got goals
Among them ni 2050 60% ya africa wawe youth under 25 years do you think they still love you?
hiyo ni nini itafika wakati wataweka ikifika 2070 afrika 70%wawe under 20 yaani juu ya 20 years sio wengi wanakufa au wameshakufa
so watakuwa na control over vyanzo vya asili kwa style hii they'll still use a lot of traitors kuiangamaiza afrika
Yaani sasa hivi hawasumbuki kuja tena ni chuki inapandikizwa black na black mna malizana full stop wao wanakuja kusomba madini uranium mafuta wanaondoka
na wakimaliza kutu swipe hata 2150 huko mbele ndio watakuja kuweka makazi rasmi kwasababu watakuwa wamefanikiwa
Africa tuzuie linalokuja mzungu ana plan hata za miaka 100 mbele tuta waachia nani hili bara kwakweli he can't, he will never ever be your sponsor just for free your black Africa is home don't be traitors what history are you making wangapi wanafanya huo ujingaa mwishoni wanakuta nchi zao magofu
kuwa na ushawishi kwa jamii isimfanye mtu kuwapa watu hadi ujinga wao
sipo upande wowote hapa wa kichama ila nasimamia asili yangu
naamini kwenye ukombozi wa mtu mweusi bado maana vita ya sasa ni hatari ukizoea story huelewi kinacho endelea duniani fungueni machoo
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Nyumbu bwana, Mpaka network zinagoma na kupoteza kumbukumbu.Hakuna kitu kizuri kama uhai kaa utulie zako Canada mzee msalimie Wilbroad Silaa.
Hivi ule unyama mliokuwa mnatenda kwa miaka yote mitano na mauaji, utekaji na utesaji wa raia kwenye uchaguzi, huku ikiagizwa Lema auliwe ama apewe kesi isiyo na dhamana mnadhani dunia ilikuwa haioni?
Hakuna bure bro, akishapewa makaratasi anaambiwa kufa na lwako, itabidi aanze kubeba mabox maana huku hakuna mission town.Hahahaaaa! Ameenda kula bure no stress!
Mabeberu wana akili sana, yeye kalilia ukimbizi wakaona wampe lakini mbali na mipaka ya Tanzania, hivyo atakuwa mbali na maisha ya Bongo ambayo ni mazuri sana kuliko huko, hivyo furaha yake ni short lived. Na hali hii haionyeshi kama Tanzania tumeanza kuzalisha wakimbizi, kwani ilitokea 2000 wale wa Pemba n.k UK na MombaUpo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Iliongezeka sifuri kimakosa20001 ❌
2001. ✔️
Huo mwaka ulioandika hapo juu, dunia haijafika huko.
Ni kweli,lakini hebu tuwaze.Hivi kweli unapata taarifa ya kuwa kuna kesi ya madawa ya kulevya unaandaliwa utasubiri?Ni ujinga huo, wala hakuna la maana hapo! Mtu mzima unaamua kujipeleka utumwani wewe pamoja na familia yako! Watoto wake watapoteza mengi hapa duniani, Kizazi cha tatu cha Lema ndicho kitakuja kuinjoi maisha huko kwani ujinga wa Babu yao mzaa Baba au Mama ( ambaye ni Lema wa sasa) wa kukimbia Nchi yake kwa sababu za kutunga zitakuwa zime-fade away!
Sidhani kama Lema ni desparate kiasi unachotaka kuonyeshaTanzania ni sehemu salama sana, mbona mimi na familia yangu tunaishi kwa amani tu? Msipende kuchochea ujinga, huyu dogo Lema ni mjanja tu, alishasoma alama za nyakati na akaona kukaa miaka 5 bila kazi na ana watoto ataishije, so akaamua kudanganya mabwana zake ili akapakatwe majuu.
Alishtakiwa?alipatikana na hatia?Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Hapana hilo lisikusumbue kabisa; Kanada hupokea mtu yeyote anayetaka kuhamia kule. Kanada ni nchi kubwa sana yenye eneo takriban kilomita za mraba 10m lakini ambayo idadi ya watu ni ndogo sana kiasi cha 37.6m tu ukilinganisha na Tanzania yenye eneo la kilomita za mraba 1.0m lakini ina watu zaid ya 56.3m; kwa hiyo Kanada wana nafasi nyingi sana za kuweka watu na kuongeza idadi yao.Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Tunza akiba ya maneno ili ufiche upumbavu wako watu wasiutambue.Kama kambona alirudi why lema. Hii mijitu ya Kanda ya ziwa roho mbaya Sana ikipewa leseni ya udereva