Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Jambazi ni magufuri anayeongoza squad za maua
 
kuna muda tunatakiwa tufikirie siwezi ongelea upande wa mtu ila kwa tunavyodhani je kuna sehemu utaipenda na itakupenda kama nyumbani kweli?

Unajua it needs to reach a time supremacy not to exceed humanity you can do anything yaani na ndio tatizo kubwa duniani kwa sasa supremacy is really hight than humanity people can decide and make anything for it karatasi zinapotezea ndugu zangu

Huwezi kuwa tajiri kama hauli,haupumui na huna sehemu salama na moyo una ridhika kulala tupende nchi yetu Africa ndio sehemu pekee utakayo kuwa na amani nchi za nnje hakuna kipya mtu uta accumulate stress nothing new about it

what's the meaning of life ukishatoka huko nnje uone nchi imebaki magofu na uongozi haupo eeeh

the way we are Africans isn't our leaders faults wanakuta hiyo mifumo tunatakiwa tuelewe sio misaada inayotolewa ndio unadhani wanatupenda sanaa noo ni kwa faida yao leo atatoa msaada wa barabara ya lami kutoka geita hata hadi nyerere airport for his benefit na viongozi wana hangaika sema propaganda ni mbaya

unadhani kiongozi target yake ni kuwa na hela na kutumia madaraka vibaya juu ya Africa do you think that?

fikiria mtu ana kutengenezea tatizo alafu anaaminishwa mwingine ndio ana sababisha then anarudi kusolve tatizo kwa vita really?

the whole world there's is no peacefully democracy hata uende wapi people are there for their national interest wazungu huwa wanatanguliza taifa hawawezi leta vita ya wao kwao kirahisii never utaona Africa tuu

kwasababu ndio wamepandikiza hiyo mbegu ya kutugawanya na kututawala
je unadhani mtu ukienda nnje utatumika kama nani kama si mpinzani kwa Africa
they got goals

Among them ni 2050 60% ya africa wawe youth under 25 years do you think they still love you?
hiyo ni nini itafika wakati wataweka ikifika 2070 afrika 70%wawe under 20 yaani juu ya 20 years sio wengi wanakufa au wameshakufa

so watakuwa na control over vyanzo vya asili kwa style hii they'll still use a lot of traitors kuiangamaiza afrika

Yaani sasa hivi hawasumbuki kuja tena ni chuki inapandikizwa black na black mna malizana full stop wao wanakuja kusomba madini uranium mafuta wanaondoka

na wakimaliza kutu swipe hata 2150 huko mbele ndio watakuja kuweka makazi rasmi kwasababu watakuwa wamefanikiwa

Africa tuzuie linalokuja mzungu ana plan hata za miaka 100 mbele tuta waachia nani hili bara kwakweli he can't, he will never ever be your sponsor just for free your black Africa is home don't be traitors what history are you making wangapi wanafanya huo ujingaa mwishoni wanakuta nchi zao magofu

kuwa na ushawishi kwa jamii isimfanye mtu kuwapa watu hadi ujinga wao
sipo upande wowote hapa wa kichama ila nasimamia asili yangu

naamini kwenye ukombozi wa mtu mweusi bado maana vita ya sasa ni hatari ukizoea story huelewi kinacho endelea duniani fungueni machoo
Wewe ni mmoja ya wale wanaoamini "wazungu" wanatupandikizia mbegu ya chuki, kutugawa ili watutawale? Kwa nini sisi watu weusi tu ndio tunawezwa kwa ujinga huu wa "kugawanywa"?

Inakuwaje mataifa mengine hayafanyiwi huu ujinga? Halafu, hii hoja kwamba wazungu "hawatupendi" ina umuhimu gani? Tangu lini taifa makini likahangaikia "kupendwa"na mataifa mengine hapa duniani? Taifa linakuwepo na linaendelea kwa mikakati thabiti; na sio kwa hisia za mapenzi! hizo ni kwa viumbe.

Huyo "mzungu" kwanza ni nani hasa? Ndio mkoloni wetu mpya? Unasema "mzungu ana plan hata za miaka 100 mbele ..."! Sisi je? Tuna plan za upeo upi?

Maelezo marefu lakini yamekosa "coherence". Kwa kifupi matatizo ya bara la Afrika yataanza kutatuliwa siku Waafrika watakapoamua kuacha ulaghai na unafiki na kuwa makini na mustakabali wao. Huyo fictitious "mzungu" ni kisingizio tu cha kukwepa kuwajibika kwa ubadhirifu unaofanywa na viongozi wa Kiafrika dhidi ya watu wao.

Hii hoja ya "kuchukiwa" na "kugawanywa" na wazungu sio nzuri inaonyesha kuwa sisi waafrika ndio watu duni sana hapa duniani; kwamba hatuna akili; hatuoni mbali; na tunanunulika kirahisi kwa manufaa ya mataifa mengine; ndio sababu tukauzana utumwani kwa wingi kuliko mataifa yote. NI AIBU.
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.

Better for everybody. Angefanya kazi gani baada ya kukosa ubunge? Kukata magari vipande ili wauze spear, asingebaki salama.
Naamini muda unazidi kuongea. Hawa jamaa hawakustahili kukabidhiwa dola
 
Wakimbizi wapo tangu kipindi cha Mkapa wengi tuu, wapo kila kona ya dunia, US, UK, Canada, Belgium, Sweden, nk nk. Sio big deal kihivyo mnavyofikiria, sana sana kaongeza namba ya wategemea benefits, ila ni nzuri kwa watoto wake watasoma vizuri kama wako seerious.
 
Hivi ule unyama mliokuwa mnatenda kwa miaka yote mitano na mauaji, utekaji na utesaji wa raia kwenye uchaguzi, huku ikiagizwa Lema auliwe ama apewe kesi isiyo na dhamana mnadhani dunia ilikuwa haioni?

Mzee mwenyewe anaelezea jinsi kwenye vikao vyao vya Dunia wanavyoona 😂😂😂😂😂
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Mabeberu wana akili sana, yeye kalilia ukimbizi wakaona wampe lakini mbali na mipaka ya Tanzania, hivyo atakuwa mbali na maisha ya Bongo ambayo ni mazuri sana kuliko huko, hivyo furaha yake ni short lived. Na hali hii haionyeshi kama Tanzania tumeanza kuzalisha wakimbizi, kwani ilitokea 2000 wale wa Pemba n.k UK na Momba
 
Ni ujinga huo, wala hakuna la maana hapo! Mtu mzima unaamua kujipeleka utumwani wewe pamoja na familia yako! Watoto wake watapoteza mengi hapa duniani, Kizazi cha tatu cha Lema ndicho kitakuja kuinjoi maisha huko kwani ujinga wa Babu yao mzaa Baba au Mama ( ambaye ni Lema wa sasa) wa kukimbia Nchi yake kwa sababu za kutunga zitakuwa zime-fade away!
Ni kweli,lakini hebu tuwaze.Hivi kweli unapata taarifa ya kuwa kuna kesi ya madawa ya kulevya unaandaliwa utasubiri?
Tujikumbushe kidogo,
  1. Lwakatare aliyekuwa mbunge alipatiwa kesi ya ugaidi na wote mlishuhudia alivyokuwa anaingizwa mahakamani na msafara wake
  2. Rugemalila alifanya biashara na serikali katika circle za juu (sio kupeleka mchele sekondari) leo anaozea rumande
  3. Juzi kuna watu wamekaa rumande 133 days na mwisho wa siku unaambiwa "hatuna interest na hiyo kesi tena"
Police,DPP na judiciary system yetu hebu ijitathmini.Binafsi simtetei mhalifu lakini kubabimbikia watu kesi inaelekea kuwa kama fashion fulani hivi ya kumkomoa usiyemtaka.
 
Tanzania ni sehemu salama sana, mbona mimi na familia yangu tunaishi kwa amani tu? Msipende kuchochea ujinga, huyu dogo Lema ni mjanja tu, alishasoma alama za nyakati na akaona kukaa miaka 5 bila kazi na ana watoto ataishije, so akaamua kudanganya mabwana zake ili akapakatwe majuu.
Sidhani kama Lema ni desparate kiasi unachotaka kuonyesha
 
Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Alishtakiwa?alipatikana na hatia?
 
Kama kambona alirudi why lema. Hii mijitu ya Kanda ya ziwa roho mbaya Sana ikipewa leseni ya udereva
 
Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?

Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.

Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.

Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.

Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Hapana hilo lisikusumbue kabisa; Kanada hupokea mtu yeyote anayetaka kuhamia kule. Kanada ni nchi kubwa sana yenye eneo takriban kilomita za mraba 10m lakini ambayo idadi ya watu ni ndogo sana kiasi cha 37.6m tu ukilinganisha na Tanzania yenye eneo la kilomita za mraba 1.0m lakini ina watu zaid ya 56.3m; kwa hiyo Kanada wana nafasi nyingi sana za kuweka watu na kuongeza idadi yao.

Canada wanapenda sana nguvu kazi, na unapoona maendeleo ya Canada mengi yanaletwa na hiyo nguvu kazi ya wahamiaji. Hata wewe ukiomba kuhamia Canada leo utapata kirahisi tu mradi usiwe na rekodi ya uharifu. Ila ukishafika, lazima ufanye kazi kweli kweli, siyo mambo ya misheni town tena.
 
Back
Top Bottom