mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?
Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Mkuu,Kawaambie mafala wa huko vijijini maana ndio wasiojua lolote. Hakuna mkataba wowote wa madini ambao Lema amewahi hata kuuona kwa macho, labda ukatafute mazoba ndio uwaambie huu utoto.
Lema anastahili ukimbizi wa kisiasa maana mazingira ya ukatili na uhayawani dhidi ya wapinzani yako wazi, na wala sio ya kutafuta. Unaweza kuweka uzalendo uchwara wako lakini ukweli wote uko wazi, japo watu wanaogopa kuongea ukweli wasije kupoteza maisha yao.
Hahahaaaa! Ameenda kula bure no stress!
Hakuna sababu yeyote kwa mtu yeyote kwa sasa kuomba hifadhi ya kisiasa kwenye nchi yeyote duniani Beatrice.Nchi yetu ni salama kabisa,unless you have your own problems.Wanaomba hifadhi nje wanampango mpana wa kutumiwa na nchi wanakoenda kui-destabilize nchi yetu kwa maslahi mapana ya mabeberu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mnafikiri hao wazungu ni wajinga sana?
Wazungu wanajua kila kitu, isitoshe wana mabalozi wao hapa, kwahiyo kama kuna hali mbaya hawahitaji kinca Lema wakimbie ndio wajue kuna hali mbaya.
Wanajua kabisa kwamba hao kina Lema wanaenda tu kula bata baada ya kushindwa ubunge ila kwamba kuna hali mbaya au la, wanajionea wenyewe.
Nyie chadema mnatuita sie wa vijijini mafala? [emoji848]Kawaambie mafala wa huko vijijini maana ndio wasiojua lolote. Hakuna mkataba wowote wa madini ambao Lema amewahi hata kuuona kwa macho, labda ukatafute mazoba ndio uwaambie huu utoto.
Lema anastahili ukimbizi wa kisiasa maana mazingira ya ukatili na uhayawani dhidi ya wapinzani yako wazi, na wala sio ya kutafuta. Unaweza kuweka uzalendo uchwara wako lakini ukweli wote uko wazi, japo watu wanaogopa kuongea ukweli wasije kupoteza maisha yao.
Tatizo kubwa la nchi hii ni Magufuli. Hapendi kukosolewa ila kuabudiwa tu.wanaompinga huishia kwenye viroba na kuokotwa fukweni. Vinginevyo ni kesi zisizo na dhamana, dunia u inaona na inayajua yote hayoUpo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa?
Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na kujiridhisha kwamba unastahili.
Kama lema na familia yake wamekubaliwa hifadhi ni udhibitisho kwamba wamepita kwenye mchujo na kufaulu, wameweka ushahidi nakuishawishi Canada kuwapokea. Familia yake itaishi kwa raha na watoto watasoma vizuri zaidi ya hapa ila kila siku kwa maika dahari ya Taifa letu watabaki kusomwa kwenye hiztoria ya Taifa letu Kama tunavyowasoma akina Kambona.
Tujitafakari mara nyingine Tena, Tanzania si sehemu salama? Kama Ni sehemu salama kwanini marafiki zetu wa muda mrefu Canada wanautangazia Ulimwengu kwamba tuna wakimbizi wakisiasa? Tujadiliane nao tulifute doa ili na lema na familia yake warejee nchini kuendelea na siasa.
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Sihitaji kusikia kuhusu Lissu.Tuko kwenye vita ya uchumi.Ww ni mfaidika wa huu uovu uliopo. Lisu ameshambuliwa kwenye viwanja vya bunge hakuna yoyote aliyekamatwa, unaposema kuna usalama wa kutosha labda kwako. Ili uwe kwenye usalama hapa nchini unapaswa kuwa kondoo ama kujipendekeza kwa watawala, sio zaidi ya hapo. Kilichofanyika kwenye uchaguzi wetu tumekiona kwa macho,na watu walipotaka kuonyesha hisia zao walitishiwa kuuwawa na vyombo vya dola! Tuko kimya sio kwakuwa tunaridhika, bali tunahofia kuuwawa kwa kupinga kutawaliwa kwa shuruti.
Maneno ya kijinga kabisa haya na ni maneno ya mtu aliyetumwa kuchafua.Unfortunately yupo,na yupo for the next five years,and there is nothing you can do,so you better join him.Tatizo kubwa la nchi hii ni Magufuli. Hapendi kukosolewa ila kuabudiwa tu.wanaompinga huishia kwenye viroba na kuokotwa fukweni. Vinginevyo ni kesi zisizo na dhamana, dunia unaona na inayajua yote hayo
Mavi Mengi uliyoqndika Hapa Hayafai Hata Kutumika Kama Mbolea.0Mkuu,
Your thread is emotionally polarized.
Wewe mpaka unaandika huu uzi uko Tanzania au nje ya Tanzania ?
Kama uko ndani ya Tanzania, je kuna mazingira hayo unayodai yamefanikisha huyo mtu wako kupata hadhi ya ukimbizi?
Hao wasomi unaodai waishauri serikali kutumia rejea ipi iliyothibitishwa na mamlaka halali za kitaifa na kimataifa?
Kupata hifadhi kwenye nchi kama Kanada (Quebec/Ottawa) ni mkakati wa kiuchumi kwa kuwa wawekezaji wengi wa madini ambao mikataba yao iligundulika kuwa ilikuwa ya kitapeli wanatokea huko (Reference Barrick Gold Mines & Associates).
Lema anauzandiki mkubwa sana yuko tayari kuuza utu, hadhi ya nchi ili mradi apate mali kwa yeyote.
Siasa huwa ni vichaka vya watu wenye historia mbaya, tabia mbovu na ukosefu wa maadili kwa baadhi yao kukimbilia huko kama kinga ya maovu yao.
Tambua uhalifu wote chanzo chake ni wanasiasa hasa wanaharakati ( Study on criminality, criminology and & crimes Source)
Mleta mada huyo aliyekimbia ni mwenzio kwa kumbukumbu tulizonazo hivyo amekutuma kupima joto la kisiasa litaashiria kitu gani kwa wananchi . The methodology you have agreed on to surface through a vagued political barometer survey shall not sustain teh status quo.
Huyo yumo kwenye mnyororo wa mamluki, usaliti na pandiki uasi dhidi ya nchi yake kwa kisingizio hawakubaliani na kiongozi wa nchi aliyeko madarakani kutokana na kudhibitiwa utukutu wao. Any elect regime that comes to power through the citizens endorsement and performs in accordance with teh citizen will he shall stay until such time.....so do not stir up panic among the good people of the lovely Tanzania and strangers enjoying its gracious haven peace.
Wewe ni Mungu? Nakuhakikishia .....Maneno ya kijinga kabisa haya na ni maneno ya mtu aliyetumwa kuchafua.Unfortunately yupo,na yupo for the next five years,and there is nothing you can do,so you better join him.
Kwa hiyo kakwepa ugumu wa maisha aliotengenezewa?Amecheza karata vizuri, angebaki huku angekula nini? Alishafulia maisha yangekuwa magumu.
Kuna mtu yeyote hapa duniani anaetafuta maisha ya shida bwasheee?Usanii tu, nani amuue? Kwa threat gani aliyonayo kwa taifa? Mbona wapinzani wengine hawajauliwa hadi sasa hivi? Yeye ana nini cha ziada kuliko Mbowe, sugu , mnyika na wengine wengi ambao hawajakimbia nchi?
Ule msemo wake "hakuna kitu kibaya kama uoga " Leo imekuaje? Hana lolote huyo alikuwa anatafuta maisha mteremko ameshayapata atulie huko huko.
Kama anahudumiwa kila kitu maana yake maisha yatakuwa marahisi kwake, na hilo ndilo lengo lake haswa.
Mbowe yupo katulia hakuna aliyemtishia kuuwawa aje atishiwe Lema muhuni tu hana lolote