Nyie chadema mnatuita sie wa vijijini mafala? [emoji848]
Wazungu ndio kimbilio la Waafrika wateswao na Wafrika wenzao
Mcheki kwenye Twitter account yake.Na hapa tunamjadili Lema hata hayupo kujibu
Hapa ni jfMcheki kwenye Twitter account yake.
Sihitaji kusikia kuhusu Lissu.Tuko kwenye vita ya uchumi.
Haya ni vzr kafanikiwa alichokuwa anakitaka.
Maisha ya wakimbizi sio ya kuku kwa mrija. Atapewa vibali vya kuishi vyenye masharti kuwa asirudi tena nchini mwao. Siku akirudi nchini mwao ukimbizi wake unaisha maana ni ishara kuwa huko kwao ni salama. Itabidi atafute kazi afanye. Na uraia wake hapa bongo sijui anakuwa amejivua?Hahahaaaa! Ameenda kula bure no stress!
Huyo Lissu angefanya vijiji viwe mjini? Una mawazo ya kiboyaMimi sio msemaji wa cdm usichanganye maoni yangu na cdm. Nyie ni Mafala kidogo sasa, kama mnalima kwa gharama zenu na kukutana na mateso yote, huku hamna barabara nzuri, maji safi, huduma mbovu za afya nk, na bado mnawashabikia wanaowapangia bei duni za mazao yenu, huku mkibaki masikini wa kutupwa kuna ufala kama huo?
Hata kama ni JF, umejuaje kama hana uanachama humu ndani? Yawezekana baadhi ya majibu ya maswali yako yanatoka kwake!!Hapa ni jf
Na wewe utaendelea kubaki bongo land ukitamani maisha yake na usiyapate. Dah maisha hayaHabari ndio hiyo.
Labda wewe ndo yeyeHata kama ni JF, umejuaje kama hana uanachama humu ndani? Yawezekana baadhi ya majibu ya maswali yako yanatoka kwake!!
Huyo Lissu angefanya vijiji viwe mjini? Una mawazo ya kiboya
Umecomment kwa chukiNi ujinga huo, wala hakuna la maana hapo! Mtu mzima unaamua kujipeleka utumwani wewe pamoja na familia yako! Watoto wake watapoteza mengi hapa duniani, Kizazi cha tatu cha Lema ndicho kitakuja kuinjoi maisha huko kwani ujinga wa Babu yao mzaa Baba au Mama ( ambaye ni Lema wa sasa) wa kukimbia Nchi yake kwa sababu za kutunga zitakuwa zime-fade away!
John Kabudi ajiandae kujibu mabomu kutoka Belgium na Canada.Hakuna kitu kizuri kama uhai kaa utulie zako Canada mzee msalimie Wilbroad Silaa.
Angepewa hata uteuzi.Si unaona Zitto kaufyata.Amecheza karata vizuri, angebaki huku angekula nini? Alishafulia maisha yangekuwa magumu.
Nyumba zake na mali zake zingine zote alizoziacha Tanzania tutazipiga mnada kurudisha madeni yetu.Yeah kakimbia madeni milioni mia 400, angezilipaje kwa usawa huu?
Lissu alikuwa na tishio lipi hadi mkamtenda hivo.Usanii tu, nani amuue? Kwa threat gani aliyonayo kwa taifa? Mbona wapinzani wengine hawajauliwa hadi sasa hivi? Yeye ana nini cha ziada kuliko Mbowe, sugu , mnyika na wengine wengi ambao hawajakimbia nchi?
Ule msemo wake "hakuna kitu kibaya kama uoga " Leo imekuaje? Hana lolote huyo alikuwa anatafuta maisha mteremko ameshayapata atulie huko huko.
Ndivyo itakavyokua Kama kweli ana madeniNyumba zake na mali zake zingine zote alizoziacha Tanzania tutazipiga mnada kurudisha madeni yetu.
Sitamani maisha yake bali natamani maisha bora. Mimi hapa nilipo nina maisha ya kuridhisha, hivyo sina dhiki ya hivyo.Na wewe utaendelea kubaki bongo land ukitamani maisha yake na usiyapate. Dah maisha haya
Zitto hatabiriki. Anytime naye unaweza kukuta ametua nchi ya akina Acasia kama mkimbizi.Angepewa hata uteuzi.Si unaona Zitto kaufyata.