Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Njaa na shibe ni kikwazo cha ustawi wa upinzani
Graduate anawapigia kelele wezi wezi wanachoshwa na kelele wanamtupia kipande cha mnofu nae anaunga juhudi anaanza kuwapigia kelele wakimbiza wezi.
 
Usiamini kiki za wanasiasa hawa kakimbia baada ya kukosa ajira ya ubunge, angekimbia mbowe ningeshituka kidogo ila huyu kakimbia madeni tuu yake.
Wewe mburula Lema ana uwezo wa kukulisha wewe na ukoo wako maisha yenu yote! Beware!!
 
mbona Canada pazuri tu, abaki huko huko atengenezea life lake na familia yake huko, kuzaliwa bongo bahati mbaya, bora nirudi ulaya.
 
Shetani aliyekuwepo atamuachia kijiti shetani mwenzie [emoji3][emoji3], ndivyo itakavyokuwa miaka nenda rudi
Mungu katu atotuacha siku zote uenda atatuletea shetani civilized, educated , matured, born town, na mwenye exposure.
 
Mungu katu atotuacha siku zote uenda atatuletea shetani civilized, educated , matured, born town, na mwenye exposure.
Huyu ndo shetani mliye muomba Mungu akawapa. Aliyepita mlidai ni mdhaifu Sana kazubaa kutwa kusafiri. Haya sasa chuma hicho
 
Huyu ndo shetani mliye muomba Mungu akawapa. Aliyepita mlidai ni mdhaifu Sana kazubaa kutwa kusafiri. Haya sasa chuma hicho
Shetani mkimbiza upepo atapita Kama upepo atabakia kusomwa kwenye vitabu vya historia Kama mashwetani wanaosomwa kwenye historia.
Dunia uwanja wa fujo ukimaliza fujo zako unasepa.
 
Shetani mkimbiza upepo atapita Kama upepo atabakia kusomwa kwenye vitabu vya historia Kama mashwetani wanaosomwa kwenye historia.
Dunia uwanja wa fujo ukimaliza fujo zako unasepa.
Hatapita Kama upepo. Atadumu kwa miaka mingine mitano Kama ilivyo kawaida kwa wengine waliotangulia, na kusomwa kwenye historia ni kawaida. Au ilitakiwa iweje?
 
Hatapita Kama upepo. Atadumu kwa miaka mingine mitano Kama ilivyo kawaida kwa wengine waliotangulia, na kusomwa kwenye historia ni kawaida. Au ilitakiwa iweje?
Siku za kuishi duniani za mwanadamu si nyingi nazo zimejaa unajisi tupu.
 
Hakuna mwenye hatimiliki na siti ya daladala. Kambona alirudi toka ukimbizini. Defao, Moise Katumbi waliomkimbia dikteta wamesharudi congo baada ya dikteta mfumo kumtupa akiwa hana amri ya hata kuamuru sisimizi zaidi ya kuamrisha mkewe
 
Mkuu sasa inakuwaje???

Mambo vipi kwanza?
 
Hizi ni fikra za kitumwa!
 
Kuna washkaji ni Wazanzibar 2001 walitorokea Kenya kama wakimbizi baadae wakachukuliwa mazima Australia. Hivi sasa hawataki hata kuongea Kiswahili kubabake
 
Mwaka 2001 pana vyuma vilienda kuomba hifadhi nchi ya Somalia vile vyuma huwa nikivifikiria sivimalizi
 
Hivi ule unyama mliokuwa mnatenda kwa miaka yote mitano na mauaji, utekaji na utesaji wa raia kwenye uchaguzi, huku ikiagizwa Lema auliwe ama apewe kesi isiyo na dhamana mnadhani dunia ilikuwa haioni?
Wendawazimu tu hao. Tanzania haikuwahi kuwa na historia ya mbunge kupigwa risasi hadharani lakini imetokea awamu hii. Ben Saanane angejua waovu wake walikuwa wana nia gani juu yake angeshakimbia zake kunusuru uhai wake kama Ansbert Ngurumo alivyofanya. Hata mtoto Akwilina aliuawa kwa sababu ya dhulma za uchaguzi. Waache wendawazimu wanaomwabudu yule muovu mzalendo uchwara waendelee kumuabudu.
 
Wapinzani ni wachumia tumbo tu,hawana ajenda yeyote sawia kwa maslahi ya wananchi.Nirudie,tuko kwenye vita ya kiuchumi na kama Watanzania hatutakubali kurudishwa nyuma na mtu yeyote.We will use all tools at our disposal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…